Walimu tulioajiriwa mwezi uliopita tumetelekezwa vituoni

Serikali kwanini inapenda kututesa hivi?

Yaani tangu tupangiwe vituoni, hatujapewa pesa yoyote ya kujikimu wala kurudishiwa nauli na kuna tetesi mshahara wa mwezi huu nao hatupewi, yaani shule zenyewe hazina nyumba za walimu, walimu wageni imetulazimu kupanga na kujitegemea kununua mahitaji yote kwa gharama zetu.

Shule zenyewe hazijatupa support yoyote watu tupo mbali na nyumbani mfano kama mimi nimepangiwa Kagera na nyumbani ni Songea, kurudi nyumbani siwezi na huku huduma sipati so nalala njaa muda mwingine na hapa nilipo nanuka madeni maana watu wa kuwakopa hela nao wameisha karibia wote nimewakopa.

Naishi maisha magumu sana, tena sana hadi najuta kupata hii ajira kama mtu anaweza nikopesa 20000 inisaidie hili wiki ninavyoendelea kusubiri hela ya kujikimu utakuwa umeniokoa maana hapa nimelala tu Toka Jana asubuhi sijala chochote.

Na sasa hivi shule zimefunga ni shida tupu yani
You can't be serious, yani unashimda njaa wakati una watu wa kukusaidia? Mkuu wako wa shule umemwambia hali yako? Mkurugenzi , HRO ??
 
Acha matusi

Mwambie dogo arudi nyumbani

Serikali haihitaji mtu, watu ndio wanaihitaji
Hii serekali ya hawa WAHUNI inasumbua sana vijana wetu, huko Mikoani wengine wamefikia hatua ya kujiuza hadi kwenye mabaa ili siku ziende. Tunajenga Taifa la watu wa namna gani?
 
Serikali kwanini inapenda kututesa hivi?

Yaani tangu tupangiwe vituoni, hatujapewa pesa yoyote ya kujikimu wala kurudishiwa nauli na kuna tetesi mshahara wa mwezi huu nao hatupewi, yaani shule zenyewe hazina nyumba za walimu, walimu wageni imetulazimu kupanga na kujitegemea kununua mahitaji yote kwa gharama zetu.

Shule zenyewe hazijatupa support yoyote watu tupo mbali na nyumbani mfano kama mimi nimepangiwa Kagera na nyumbani ni Songea, kurudi nyumbani siwezi na huku huduma sipati so nalala njaa muda mwingine na hapa nilipo nanuka madeni maana watu wa kuwakopa hela nao wameisha karibia wote nimewakopa.

Naishi maisha magumu sana, tena sana hadi najuta kupata hii ajira kama mtu anaweza nikopesa 20000 inisaidie hili wiki ninavyoendelea kusubiri hela ya kujikimu utakuwa umeniokoa maana hapa nimelala tu Toka Jana asubuhi sijala chochote.

Na sasa hivi shule zimefunga ni shida tupu yani
Poleni sana, hiyo ndo Serikali ya Kihutu....katili kweli
 
Humu Jf wote tumegraduate, wote tuna magari na wote tuna maisha

Mimi sina hivyo vitu ila stress inayonisumbua labda za mapenzi tu

Hizo zenu za hata ukisalimiwa unawaka hapana
Nan amewaka? Tunawaka kwa watu wanaojifanya wao Ni usalama ,kwenye kitu Cha kushaur wao wanatishia Aman ya wengine huo ndio upimbi wenyewe .

Ndio maana nimekwambia kila mtu ana stress zake na zinazidiana ,kumtisha Mwalimu mpya Hilo no kabisa lazima tuje juu ,mwalimu anapaswa kaumbiwa uhalisia pale unapoanza Kaz ,na kulalamika lazima alalamike tu maana matarajio yake sivyo alivyoyakuta
 
Hii serekali ya hawa WAHUNI inasumbua sana vijana wetu, huko Mikoani wengine wamefikia hatua ya kujiuza hadi kwenye mabaa ili siku ziende. Tunajenga Taifa la watu wa namna gani?
Kujiuza ni hulka tu, tunao ambao wako kazini muda mrefu tu lakini ni makahaba kabisaa ajira ni kivuli tu
 
Nan amewaka? Tunawaka kwa watu wanaojifanya wao Ni usalama ,kwenye kitu Cha kushaur wao wanatishia Aman ya wengine huo ndio upimbi wenyewe .

Ndio maana nimekwambia kila mtu ana stress zake na zinazidiana ,kumtisha Mwalimu mpya Hilo no kabisa lazima tuje juu ,mwalimu anapaswa kaumbiwa uhalisia pale unapoanza Kaz ,na kulalamika lazima alalamike tu maana matarajio yake sivyo alivyoyakuta
Nilichojiuliza kwanini ukawaza usalama tu?

Kwani kada tu wa chama hawezi kukuchoma na ukapoteza kazi?

Kwani Mkurugenzi Geita alishikiwa bango na usalama?

Sio kila anayekutisha anamaanisha ni usalama, raia tu wa kawaida akikuchomea anaweza kusikilizwa
 
Tulia kwanza dogo ,au umefikiri kila kitu kinahitaji porojo eti , assume ndo ww hujala 2 days afu unataka mtu awe patient for what ko mtu afe njaa kisa kapata ajira ya kudumu ,
Pamoja na yote unayopitia wakati huu. Mwandiko wako unaniacha hoi!
 
Serikali kwanini inapenda kututesa hivi?

Yaani tangu tupangiwe vituoni, hatujapewa pesa yoyote ya kujikimu wala kurudishiwa nauli na kuna tetesi mshahara wa mwezi huu nao hatupewi, yaani shule zenyewe hazina nyumba za walimu, walimu wageni imetulazimu kupanga na kujitegemea kununua mahitaji yote kwa gharama zetu.

Shule zenyewe hazijatupa support yoyote watu tupo mbali na nyumbani mfano kama mimi nimepangiwa Kagera na nyumbani ni Songea, kurudi nyumbani siwezi na huku huduma sipati so nalala njaa muda mwingine na hapa nilipo nanuka madeni maana watu wa kuwakopa hela nao wameisha karibia wote nimewakopa.

Naishi maisha magumu sana, tena sana hadi najuta kupata hii ajira kama mtu anaweza nikopesa 20000 inisaidie hili wiki ninavyoendelea kusubiri hela ya kujikimu utakuwa umeniokoa maana hapa nimelala tu Toka Jana asubuhi sijala chochote.

Na sasa hivi shule zimefunga ni shida tupu yani
Pole sana kiongozi, nadhani kutakuwa na taratibu za kiutumishi zinafanyika na siku zote huwa zinachukua muda, tulia, tafuta hata kufundisha watoto tuition, tembelea matajiri maeneo unapofanyia kazi au mitaa unayokaa, usikae tu home. Fikiria fursa badala ya matatizo.
 
Kabla ya kukoopa ni muhimu ajue mshahara take home ya kuanzia shule za msingi ni shilling ngapi? unaweza ukakoopa pesa utakayo lipa kwa mishahara mitatu, shida ikawa zaidi kuliko awali. Watu wanakimbilia hizi ajira za ualimu kwasabb ya 'disperency' hawana matumaini ila hizo sio ajira
NECTA hawaajiri,wanatoa mitihani na vyeti,labda kama wanaajiri kwenye vitengo vyao.Ila hili la kuhakiki vyeti itabidi taasisi zinazoajiri ziwe na mawasiliano ya moja kwa moja na NECTA ili kupata taarifa za waajiriwa wao.Sasa kama kuna ambao watapatikana wana utata kwenye vyeti vyao huo utakuwa ni usumbufu na udhalilishaji,mtu kaajiriwa kala hela ya kujikimu kisha anarudi mtaani

kuna ambao watakimbia hiyo ajira mapema,ukute kapangiwa kijijini ndani na alizoea kuwa na mishe za kumpa hela ndefu mjini,halafu umsoteshe njaa miezi kadhaa huko kijijini,mbona atakumbuka mishe zake mjini
 
Nimecheka kwa sauti!! Halahala dogo komaa, hii fani inasifika kwa madeni isije ikiwa ndio kumekucha na wewe umeanza [emoji23
😂😂 ndo uhalisia asipokua makini atazeeka na madeni na kama familia ndo tena inamtegemea yeye inakua mbaya zaidi
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom