Walimu tubadilishane scheme of work kwa 2018

Kuna kila sababu elimu yetu kushuka...kma walimu ndio HIVI....mmmh
hujielewi wewe we unadhani scheme of work ndio zinashusha elimu? sera mbovu za elimu ndio chanzo..scheme zilikuwepo tangu enzi za uhuru ila wasomi wetu hata nepi wanaagiza china..tafakari.
 
Kwanini msijadiliane na pengine mfungue nyuzi za masomo husika kuandaa hayo madubwasha yenu kwa njia ya kujadiliana, hamuoni kama mtafaidika kwa kuunda ka network ka walimu katika kujiimarisha. Maoni yangu tu hayo.
Acha dharau . Hayaitwi madubwasha.
 
Ndio maana mnadharaulika sana nyie, haya mambo ya kujadili humu?mialimu ya Tz hovyo kabisa yan dah ptuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom