Walimu tubadilishane scheme of work kwa 2018

doh! mmefikia huku?! sema hamna noma na mimi nitumieni ya english f1-f4 maana maisha yenyewe magumu haya
 
Kwanini msijadiliane na pengine mfungue nyuzi za masomo husika kuandaa hayo madubwasha yenu kwa njia ya kujadiliana, hamuoni kama mtafaidika kwa kuunda ka network ka walimu katika kujiimarisha. Maoni yangu tu hayo.
 
Si mchezo, kwa hiyo kama muandaaji alikosea inakuwa imekula kwa kikosi kizima
 
Anayehitaji SOFTCOPY SCHEME of work kwa masomo
Biology f1, f2, f3, f4.
Geography f1, f2, f3, f4,
Mathematics f3
Chemistry f4, f3, f2, f1 haijakamilika
Atazipata kwangu.

Nami nahitaji SOFTCOPY scheme of work kwa masomo Physics f1 f2 f3 f4
Mathematics f1 f2 f4
TUSAIDIANE WALIMU
Nisaidie scheme of work mathematic 3&4 5-6
 
Anayehitaji SOFTCOPY SCHEME of work kwa masomo
Biology f1, f2, f3, f4.
Geography f1, f2, f3, f4,
Mathematics f3
Chemistry f4, f3, f2, f1 haijakamilika
Atazipata kwangu.

Nami nahitaji SOFTCOPY scheme of work kwa masomo Physics f1 f2 f3 f4
Mathematics f1 f2 f4
TUSAIDIANE WALIMU
Msaada mwalimu nahitaji hizo scheme zote..msaada ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom