Walimu nanyi kaeni chonjo, kama hamkubali mishahara ya JK jiondoeni mapema! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu nanyi kaeni chonjo, kama hamkubali mishahara ya JK jiondoeni mapema!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jul 1, 2012.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Na ndivyo ilivyo. Acheni harakati zenu za kutaka kugoma. Siamini iwapo serikali ya JK itawalipa malaki ya walimu mishahara wanayodai, hivyo jibu lake kwao ni kama vile la madaktari, wajiondoe mapema!
   
 2. Kimox Kimokole

  Kimox Kimokole Verified User

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 9, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Naunga mkono hoja 100/100
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kuna jamaa yangu hapa nilimwambia hivohivo,kuwa kauli ya jk ni kwa watu wote
   
 4. mansakankanmusa

  mansakankanmusa JF-Expert Member

  #4
  Jul 2, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 602
  Trophy Points: 280
  inauma sana, nyumb wanapanga bila posho, usafiri shida , allowance hamna
   
 5. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #5
  Jul 2, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilikua namwangalia kiongozi wa CWT, sikumwona kama yupo serious, haoneshi ukakamavu, yaani ninawasisi akipewa bahasha yenye noti zenye rangi nyekundu tu mgomo unakwisha
   
Loading...