Walimu, na hili nalo ni tatizo!! Ni haki kulidai na ikishindikana mligomee!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu, na hili nalo ni tatizo!! Ni haki kulidai na ikishindikana mligomee!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uncle Jei Jei, Dec 6, 2011.

 1. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,200
  Likes Received: 941
  Trophy Points: 280
  Ni siku chache rais wa chama cha walimu Tanzania alitangaza mgogoro na serikali iwampo mpaka Januari watakuwa hawaja lipwa malimbikizo yao! Labda nimkumbushe tu Mkoba, kwamba tatizo si hilo tu!! Kuna tatizo lingine sugu ambalo limeonekana kawaida! Mkondo mmoja wa darasa unatakiwa kuwa na wanafunzi si zaidi ya 45, lakini hali ikoje huko!? Darasa lenye wanafunzi wachache kwenye shule nyingi hunzia 100 na kuendelea! Na tatizo hili huchangia kwa kiasi kikubwa wanafunzi kufeli. Je, mkoba na walimu wote hili si tatizo!? Kwanini mnalikalia kimya wakati watoto wakifeli mnalaumiwa nyie!? Ni wajibu wa kila mfanyakazi kufanya kazi katika mazingira mazuri ili kuwa motivated! Serikali yetu haifanyi kazi mpaka ipigiwe kelele, pigieni kelele na hili kuna walimu wengi huku mtaani wamemaliza vyuo ila hawajaajiliwa karibu mwaka sasa!
   
 2. s

  semako Senior Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shuleni kwangu wanafunzi hawataki shule,kwa mwaka tunaokota mimba kibao
   
Loading...