Walimu Mwanza wanajifia polepole...nani ajitolee?

maguzu masese

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
283
139
Mpaka

sasa walimu wa mwanza hawajalipwa mishahara yao,wale watoto wakike
waliopanga kama Malia Malulu wamefukuzwa kwenye nyumba na wanaishi kwa
wapenda dezo kwa malipo ya ngono...,serikali kimya!!yeyote anayeweza
kuikopesha afanye halahala...angalau mtoto wa rais kikwete kwani
mishahara yao ni kiduchi tu.Kwa sababu kwa jinsi ukimwi ulivyo tapakaa wanajifia taratibu pamoja na msongo wa Mawazo.
 
Duh mungu saidia hawa walimu waungane wawe na sauti moja wale mamluki wa cwt wawakatae na kuunda chombo kingine kitakachowasaidia jamani walimu muungane kwani umoja ni nguvu.
 
Ofisi ya waziri mkuu TAMISEMI wako responsible. It is very unfair. Ebu jaribu kuwaza kama angekuwa mtoto wako au ndugu yako au wewe mwenyewe? Aibu.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
walimu hawana umoja ikifikia wakati wa kudai haki zao, hili la mishahara ni tatizo sugu mno.
 
Wa kiume wameamua kufanya day waka kama makonda wa daladala. 4sure hali ni mbaya sana
 
Nimesikia na Mkoa wa Kigoma pia hali ni hiyo hiyo, sasa serikali ya ccm wapi inapeleka hii nchi, pesa za kodi wanakusanya wanatupia kwenye tume za akina Pinda nk, na kusahau mambo ya msingi hadi mshahara wa mfanyakazi? kama hivyo ndivyo je pesa za maendeleo si ndio tusahau kabisa.
 
inasikitisha saana ni kweli ata kigoma/ujiji hali ni hiyo hiyo komaeni ukombozi huanzia kwa wasomi na wasomeshaji
 
Back
Top Bottom