Walimu mliojiriwa 2011 February

Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,045
Walimu mliojiriwa Feb 2011 bila shaka wapo ambao mpaka sasa madai yenu ya mizigo,nauri,kujikimu na wategemezi na kama kuna ambao mmelipwa basi tupeane taharifa.
Nasema hivyo kwani kuna baadhi ya shule walimu wazamane aka wakongwe wamejaza form za madai lakini wapya hawakupewa hizo form.Serikali ilihadi kulipa madeni yote mwezi jana lakini mpaka leo walimu bado hawajalipwa ingawa mwanzoni walimu mlionesha msimamo kudai staili zenu sasa sijui mmekuwa je?
 
Kama ni Manispaa ya Iringa mna haki za kutolipwa!!! ILA NAWASHAURI NENEDENI MKAMCHAPE MAKOFI SEME, ANAYEJIITA AFISA ELIMU SEKONDARY KWANI HUYU NDIYO ANAYELOGA ELIMU HAPO MANISPAA YA IRINGA
 
Walimu komaeni kudae chenu, nyie ni watu MUHIMU SANA nchini, ila fuate taratibu/sheria za kazi ili kuepuka usumbufu usio wa lazima.
 
Kama ni Manispaa ya Iringa mna haki za kutolipwa!!! ILA NAWASHAURI NENEDENI MKAMCHAPE MAKOFI SEME, ANAYEJIITA AFISA ELIMU SEKONDARY KWANI HUYU NDIYO ANAYELOGA ELIMU HAPO MANISPAA YA IRINGA

Member unamanisha nini?Kwahiyo atawaloga wanaodai haki zao,duh umewashutua wengi.
 
Back
Top Bottom