Njoo wilaya ya kyela mkoa wa mbeya mimi nije wilaya ya kilindi mkoa wa tanga anayetaka tuwasiliane 0768049294. Idara ya elimu msingi
 
Niko mtwara wilaya ya newala, nataka mkoa wowote wa kaskazini na pembezoni, (arusha, kilimanjaro, manyara, tanga, singida, dodoma) 0687817171. Idara ya sec
 
mwalim yupo MBULU MANYARA anataka mwalim wa kubadilisha nae kituo cha kaz atoke DODOMA wilaya DODOMA MJIN, CHAMWINO au BAHI, idara ya secondary contact 0769695672
 
NJOO NGORONGORO nije MWANZA,KAHAMA,NZEGA,IGUNGA,MBEYA,IRINGA,GEITA,TABORA,BUNDA piga simu namba 0762770455
 
Natafuta mtu wa kubadilishana naye aje Urambo mimi niende Njombe, Iringa au Mbeya (Wilaya yoyote). Awe wa Idara ya Msingi....Kama upo tayari ni PM
 
Back
Top Bottom