Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
Njoo Mwanza nije tabora manicioal
 
kwa aliyeko Mwanza Jiji anayehitaji kuja Tanga Shule ya msingi Makorora,Ani PM tupeane maelekezo.Ahsante
 
Wakubadilishana nae aje mafinga Mufindi Iringa niende mbeya,mkoa wa mbeya...idara msingi.0759795604
 
natafuta mwalimu anaetaka kuhama mwanza nyamagana au ilemela kwenda sehemu yeyote atakayo awe Ni WA primary au sekondary nimeelekezwa kufanya hivyo na maafisa husika ili nafasi ipatikane. Dismas 0766274935
 
Samahani ndugu zangu! Natafuta mwalimu wa idara ya msingi au sekondari aliopo katika Halmashauri ya nyamagana mwanza na anapenda kuhamia mkoa au wilaya yoyote. Naomba tuwasiliane kwa namba 0766274935
 
Back
Top Bottom