Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,387
- 3,574
Unataka kwenda wap?mimi nipo mbeya mjini ... nataka wa kubadilishana naye
Njoo kiwira-Rungwe
Unataka kwenda wap?mimi nipo mbeya mjini ... nataka wa kubadilishana naye
Kwani uhamisho umeruhusiwa ?Unataka kwenda wap?
Njoo kiwira-Rungwe
We ukipata mtu wa kubadilishana hakuna kikwazoKwani uhamisho umeruhusiwa ?
Kwani uhamisho umeruhusiwa ?
[/QUOT
Nothing is impossible under the sun!
Njoo kigoma nije pwaniJamani hakuna anayehitaji mkoa wa Pwani wilaya ya Mafia.
Ndugu yangu vip ulipata hyo link unisaidie nahitaji piaGuys habari, kama kuna mtu anayo link ya telegram ya group la walimu wanaotaka kubadilishana vituo naomba mwenye 0782183441 tafadhali sana nitashukuru
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wamehama mkuu!?? Yako wapi hayo majinaMwenye link ya Utumishi Tafadhali naiomba Nataka niangalie majina ya wanaohama August hiii.