Nipo Sumbawanga Manispaa, nataka kuhama kwenda baadhi ya mikoa Tanzania, nitajie mkoa uliopo kama unauhitaji wa kuja huku nikipenda ulipo tutabadiliahana, idara elimu msingi, NAHAMA kwa sababu binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mwlm wa shule ya sekondari Kayenzi iliyoko Manispaa ya Morogoro natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Manispaa ya Morogoro mimi niende Manispaa ya Temeke jijini Dar. Nina miaka saba kazin nina TSD na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane pleas
Njoo Tanga mimi nije kayenzi Morogoro nina
Mimi mwlm wa shule ya sekondari Kayenzi iliyoko Manispaa ya Morogoro natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Manispaa ya Morogoro mimi niende Manispaa ya Temeke jijini Dar. Nina miaka saba kazin nina TSD na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane pleas
Njoo Tanga nije Kayenzi 0658501069
 
Habari,
Mods naomba uzi huu msiunganishe popote sababu uzi huu ni matokeo ya kitakachotokea mei mosi.

Nina uhakika kilichotangazwa au kuamliwa na naibu waziri Tamisemi ndugu waitara kuwa hakuna tena uhamisho kwa walimu tena mpaka kwa kibali maalumu,tangazo hilo litabadilishwa tarehe 1/5/2019 na Jpm.
Kilichofanyika na waitara ni mkakati wa kisiasa ili kuwahadaa walimu na ili rais jpm akitengua agizo hilo ashangiliwe na walimu na iwe rahisi kwake kuhutubia na asipate tabu ya shinikizo la nyongeza ya mshahara,katika kada zote kada ya ualimu ndiyo ambayo ina kero nyingi kazini.
Yangu machache.

Swelana.
 
Back
Top Bottom