Vannele
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 287
- 90
Nipo Manispaa ya Musoma... Tunaweza kubadilishana?Anayetaka kuja Dar es salaam! Wilaya ya ubungo! Mie niende Mara serengeti! Ani PM! Idara msingi! Ningeweza kwenda bila ya kubadilishana ila nimeona nimsaidie mwalimu yeyote mhitaji