White party
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 1,019
- 1,149
Njoo sumbawanga laelaNjoo Iringa nije kyela idara sec
contact 0764125128
Njoo sumbawanga laelaNjoo Iringa nije kyela idara sec
contact 0764125128
HapanaNjoo chato town
Vipi ushampata wa kubadilishana,Kumbe walimu mna hela za kuhonganaJamani wakuja Arusha town nije dar wilaya yoyote idara sec unapewa na top up ya 2milion
Njoo chatoWakuja Ubungo manispaa nije Shinyanga manispaaa
DM plzWakuja Ubungo manispaa nije Shinyanga manispaaa
Tafuta mume ndio njia rahisJamani mm n mwl wa msingi nipo singida kiomboi nahitaji mtu wa kubadilishana naye yeye aje singida mm niende kilimanjaro,Dar,pwani,mwanza au dodomaView attachment 945047
Nimeshindwa kuku pmDM plz
Ukiwa na mume unafanyaje? Tupe muongozoTafuta mume ndio njia rahis