Eti bado hawajaruhusu uhamisho waalimu??, Kuna mtu wa karibu namuhangaikia nilisikia zoezi limesitishwa lakini bado naona humu watu wanaangaikia uhamisho!! Nipeni habari bandugu
 
Jamani nahitaji mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi, nipo masasi mtwara idara ya Elimu msingi nataka kwenda
Mbeya,
Iringa,
Njombe
au
Songwe

Asante
 
Zoezi limesitishwa kwa muda ila watatoa utaratibu mwingine mapema
Eti bado hawajaruhusu uhamisho waalimu??, Kuna mtu wa karibu namuhangaikia nilisikia zoezi limesitishwa lakini bado naona humu watu wanaangaikia uhamisho!! Nipeni habari bandugu
 
Mimi ni mwl wa shule ya msingi ngaramtoni natafuta mwl was kubadilishana nae ye aje wilaya ya arumeru halmashauri ya Arusha mi nije dar halmashauri yoyote
 
Back
Top Bottom