Njoo wilaya ya Mkinga Tanga...mi nije Mkuranga au Kibiti,Nipo idara ya Sekondari..
 
Yule naibu waziri wa elimu hakuuona huu waraka? Matamko ni mengi cjui hawa walimy walim washike lipi? Mwenye namba ya yule naibu waziri anipe nimpigie
 
Karibu sana wilaya Lushoto Tanga nije
1. Korogwe
2. Hai Kilimajaro
3. Same
4. Mwanga
5. Moshi v
6. Rombo
7. Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Karibu sana wilaya Lushoto Tanga nije
1. Korogwe
2. Hai Kilimajaro
3. Same
4. Mwanga
5. Moshi v
6. Rombo
7. Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353
 
Karibu sana wilaya Lushoto Tanga nije
1. Korogwe
2. Hai Kilimajaro
3. Same
4. Mwanga
5. Moshi v
6. Rombo
7. Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Nahitaji mtu wa kubadilishana nae nipo Ukerewe nahitaji mtu wa
1.Iringa
2.Njombe na
3.Mbeya
Kwa mawasiliano nichek inbox
 
Kama kuna mwl aliyepo iringa anataka kwenda songwe anichek inbox
Nimpe namba ya huyo mwl anayetaka kubadilishana
 
Karibu sana wilaya Lushoto Tanga nije
1. Korogwe
2. Hai Kilimajaro
3. Same
4. Mwanga
5. Moshi v
6. Rombo
7. Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Ikumbukwe TAMISEMI wamesema nafasi Dsm zimejaa. Hii ni kwa uhamisho wa kawaida LAKINI unapobadilishana na mtu mnabadilishana nafasi ni tofauti na anayeomba uhamisho kawaida.

Hivyo wadau kama wamfahamu mwalimu anahitaji kuja Bukoba kutoka DSM TAFADHALI TUPEANE TAARIFA MAANA FAMILIA ZETU HUKO ZATEKETEA.

UTUMISHI PORTAL WALIWEKA LINK YA KUBADILISHANA NA MTU LAKINI MPAKA SASA HAIJARUHUSIWA KUFANYA KAZI. TURUSUSUNI JAMANI MAISHA YAMEBADILIKA MTU KUISHI MBALI NA FAMILIA YAKE SAIKOLOJIA YAKE INAHARIBIKA MNO.

MUNGU AWATIE MOYO WA KUTUHURUMIA WENYE MAMLAKA.
 
Back
Top Bottom