IMG_20180123_225122.jpg
 
Mkuu nataka nisogee Mbeya,familia yangu IPO Mbeya,sasa nmegundua kwa usawa huu Wa MAGU sio vzur kuishi mbalimbali!
Hongera mkuu, mi wife yuko huko tabora, nimehangaika kutafuta wa kubadilishana nae naona wanyamwezi hawataki kurudi kwao, nataka nimwachishe tu kazi arudi home apige mishe zingine.
 
"Njoo kasulu aje Shinyanga" ni wife wangu kapangiwa kasulu nahitaj mtu wa kubarishana nae ili arud Shy. Idara S/m Mawasiliano 0788375124 au aje pm
 
Nani kakuzuia kwenda Tabora kama unapapenda kwenda?

Mkuu tumia akili basi.Ni mtumishi yupi huwa anachaguliwa kituo anachopenda kwenda?

Mleta mada kaomba kubadilishana na mtu vituo vya kazi wewe unakejeli
 
Mkuu tumia akili basi.Ni mtumishi yupi huwa anachaguliwa kituo anachopenda kwenda?

Mleta mada kaomba kubadilishana na mtu vituo vya kazi wewe unakejeli
Sijakejeli, nimemkumbusha kwamba tangazo lake halijakamilika. Halikuwa linajitosheleza kimaelezo.
 
Back
Top Bottom