Nani kakuzuia kwenda Tabora kama unapapenda kwenda?Njoo kigoma uvinza nije tabora wilaya yoyote no 0762888655
Mkuu unakimbia kiwira? Vipi ndizi na maparachichi yamekuchosha?Njoo Rungwe-kiwira nije Mbeya town au Mbeya vijjn-idara secondary;0765432283
Mkuu unakimbia kiwira? Vipi ndizi na maparachichi yamekuchosha?
Hongera mkuu, mi wife yuko huko tabora, nimehangaika kutafuta wa kubadilishana nae naona wanyamwezi hawataki kurudi kwao, nataka nimwachishe tu kazi arudi home apige mishe zingine.Mkuu nataka nisogee Mbeya,familia yangu IPO Mbeya,sasa nmegundua kwa usawa huu Wa MAGU sio vzur kuishi mbalimbali!
We wataka uende wapi?Njoo kilimanjaro
Nani kakuzuia kwenda Tabora kama unapapenda kwenda?
Sijakejeli, nimemkumbusha kwamba tangazo lake halijakamilika. Halikuwa linajitosheleza kimaelezo.Mkuu tumia akili basi.Ni mtumishi yupi huwa anachaguliwa kituo anachopenda kwenda?
Mleta mada kaomba kubadilishana na mtu vituo vya kazi wewe unakejeli