TANGAZO
  • Njoo MULEBA-KAGERA nije wilaya yoyote Mikoa ya
1. MBEYA
2. SONGWE
  • Idara ni; sekondari
    • MAWASILIANO: 0659681392/0759410327
 
Wandugu habari...?nina dada yangu yupo kahama mwl.wa sec,anataka mtu wa kubadilishana naye wa pwani(kibaha,kisarawe,chalinze,bagamoyo) au wa dsm
Habari. Nina mtu yuko chalinzi yeye ni wa msingi. Anaweza badilishana na wa kahama. Twaweza jaribu kwani wote ni walimu sidhani kama kuna kipingamizi sana kwenye taaluma moja.
 
Mwalimu jimmy idara ya sekondari natafuta mtu wa kubadilishana vituo vya kazi njoo tabora jiran na mwanza ,kigoma ,mpanda na singida nije nyanda za juu kusini mikoa ya mbeya iringa ruvuma na lindi 0757612423
 
Njoo Halmashauri ya Geita nije moja kati ya mikoa/wilaya zifuatazo;
Dodoma Municipal
Morogoro Municipal
Kibaha
Bagamoyo
Korogwe Mji/DC
Tanga Jiji
Dar es Salaam.
Idara-Sekondari.
 
Back
Top Bottom