Njoo singida iramba idara ya msingi mm nije...
babati mjin
arusha mjn
monduli
karatu mjn
mbulu mjn.....mawasiliano
0759100221
 
MWL nipo LINDI(V) idara ya elimu msingi natafuta mwalimu wa kubadilishana nae nihamie Mkoa wa Tanga Wilaya za Tanga mjini,Korogwe,Lushoto, au Muheza..Atakae hitaji nitafute kwenye namba hii 0658001368..
 
Mimi ni mwalimu nafundisha katika shule ya Sekondari Rangwi iliyoko katika Halmashauri ya Lushoto mkoani Tanga. Natafuta mwalimu wa kubadilshana naye kituo cha kazi yeye aje Lushoto nami niende wilaya yoyote kati ya Temeke, Ilala, Kinondoni au Mkuranga- Pwani. Yeyote aliye tayari awasiliane nami kupitia private message.
 
Npo halmashauri ya Lindi vjjn nahitaji mwl wa kubasilishana nae mm niende wilaya yoyote ktk mkoa wa Tanga..ntafute kwny namba 0658001368
 
njoo MUSOMA
nije DAR
PWANI
TANGA
ARUSHA
DODOMA
MANYARA
MOROGORO
KILIMANJARO
# 0785 077035
# 0753 629314
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums

Mwl. DERICK OMARY wa Musoma Manispaa anahitaji kubadilishana kituo cha kazi na Mtu yeyote aliye kwenye mikoa ya IRINGA na MBEYA Manispaa. Idara ni sekondari, mawasiliano ni Matiko Pascal gmail.com
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums

Habari, njoo halmashauri ya wilaya ya Bukoba nije Mwanza jiji, idara ni elimu sekondari
 
Mwl T wa KIGOMA-UVINZA idara SEC anatafuta mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka TABORA-URAMBO au MJNI
No: 0683135743
 
njoo shinyanga mimi nije morogoro pwani moshi arusha tabora mjini singida manyara dar es salam idara ya msingi tuwasiliane 0656565395 na 0764 149464
 
Natafuta wa kubadilishana naye kituo. Mimi niende MWANZA NYAMAGANA AU MOSHI VIJIJINI.
Nipo shule ya msingi Lamadi halmashauri ya Busega mkoa wa Simiyu.
 
Back
Top Bottom