Kuna mwalimu msingi yupo Mtwara Wilaya ya Tandahimba anatafuta wabkubadilishana nae dar es salaam wilaya yoyote, au morogoro manispaa.
 
Njoo Itilima simiyu idara ya sekondari mi nije Kilimanjaro, Tanga, arusha, au manyara changamkia fursa nicheki Kwa 0788498592.
 
Njoo Sikonge nije sumbawanga DC, sumbawanga munispaa , Kalambo au Nkasi Dc
Idara ya msingi 0756722448
 
Back
Top Bottom