WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Michael1986

New Member
Aug 18, 2018
1
0
Nataka wa kuja mara serengeti nije dodoma sehemu yoyote idala ya msingi namba 0765129913, 0758943347
 

Sqmpo

New Member
Aug 24, 2018
3
0
njoo lindi, liwale mjini nije mbeya kyela, sumbawanga, katavi, dar, iringa. idara ya secondary
 

Elly official

JF-Expert Member
Sep 16, 2018
594
678
 

Jendahyeka 01

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
216
165
Njoo TANDAHIMBA MJINI, Mkoani mtwara nije popote TANZANIA...... Nipo serious we ni DM tuongee
Idara ---Elimu msingi
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom