walimu kutoka kenya na uganda mnasabisha wanafunzi st.mery's kufeli shule f4 s.1060

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
hii shule kila mwaka hutoa matokeo mabaya na hii inatokana na shule hii kufundisha sylabus ya uganda.....halafu mwisho wa siku
wanafanya mitihani necta......hivi unafikili matokeo yake yatakuwa vipi.....halafu mwalimu mkuu wao anaitwa mr.kiddu huyu jamaa ni
mganda .........mama lwakatare wafukuze asipokuwa makini atafilisika kwani wazazi wengi wameshaanza kutoa watoto wao

source.....mimi mwenyewe nilisomaga form 2 na 3...............lwakatare kuwa makini
 
Back
Top Bottom