Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 7,882
- 16,099
Salamu kwa wooote wapenda usawa.
Nianze kwa kuwapa pole wale walimu wanaolipa school fees ya watoto wao either private or government school.
Wafanyakazi wengi nchi hii mara nyingi kama sio zote hawalipii huduma wanazozitoa wao. But, nawashangaa walimu kulipa/kulipishwa ada kwa wanafunzi wanao wafundisha wao.
Mifano hipo mingi, ntatoa michache.
1: Wapiga Debe hawalipi nauli. Hata kama anatoka Dar to Kigoma anasafiri buree
2: Wafanyakazi wa makumpuni ya simu hawanunui vocha, wao kazi yao ni kuchaji simu na kupiga tu.
3: Wafanyakazi wa viwanda vya sukari wanapewa sukari kila mwisho wa mwezi bureeeee.
4:TANESCO wafanykazi kila mwezi wanapewa unit 7000 kwa Tsh10000 sawa na bureeeee.
Kwa mifano hiii, inadhihirisha ya kua walimu ni kiherehere kulipa ada.