Walimu kama mmepata mshahara tulipeni madeni yetu.

Wear mwalimu unaesoma hii post na hujalipa Kodi jiandae kufungasha virago vyako am away on safari I expect to receive a msg telling me you have deposited on my account failure to that plz get out of my house.
 
kuna jamaa nilipanga kwake yaani ilikua hadi nimtafute mwenyewe nimpe pango lake, nilikua naweza kaa hata mwaka simpi hata mia na nikimpa hata hahesabu anatia mfukoni anasepa. Ila sasa upange uswazi yaan mwenye nyumba anajua hadi tarehe za mshahara kama vile yeye ndio mfanyalazi
Hii ndio tabu ya kupanga kwa mwenye nyumba mwenye njaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna jamaa nilipanga kwake yaani ilikua hadi nimtafute mwenyewe nimpe pango lake, nilikua naweza kaa hata mwaka simpi hata mia na nikimpa hata hahesabu anatia mfukoni anasepa. Ila sasa upange uswazi yaan mwenye nyumba anajua hadi tarehe za mshahara kama vile yeye ndio mfanyalazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndo wanasubiri mwisho wa mwezi wanakuja kukukopa kosa umwambie sina hela uone majungu yake
 
kuna jamaa nilipanga kwake yaani ilikua hadi nimtafute mwenyewe nimpe pango lake, nilikua naweza kaa hata mwaka simpi hata mia na nikimpa hata hahesabu anatia mfukoni anasepa. Ila sasa upange uswazi yaan mwenye nyumba anajua hadi tarehe za mshahara kama vile yeye ndio mfanyalazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nimepanga ofisi mwenye nyumba hadi leo hajaniuliza Kodi yake. Huwa inaanzia Jan 1
 
Back
Top Bottom