Hii ndio tabu ya kupanga kwa mwenye nyumba mwenye njaa!
Tuvumilie kidogo Landlord..Walimu kama mshalipwa mtulipe bana hii gvt yenu si inawajali?
It pays you on time and a lot of money na mmeongezwa mishahara sijui madaraja nk.
So plz lipeni madeni yetu huku mtaani. Wiki hii ikiisha naanza kuwafukuza kwenye nyumba yangu.
Hawa ndo wanasubiri mwisho wa mwezi wanakuja kukukopa kosa umwambie sina hela uone majungu yakekuna jamaa nilipanga kwake yaani ilikua hadi nimtafute mwenyewe nimpe pango lake, nilikua naweza kaa hata mwaka simpi hata mia na nikimpa hata hahesabu anatia mfukoni anasepa. Ila sasa upange uswazi yaan mwenye nyumba anajua hadi tarehe za mshahara kama vile yeye ndio mfanyalazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa nimepanga ofisi mwenye nyumba hadi leo hajaniuliza Kodi yake. Huwa inaanzia Jan 1kuna jamaa nilipanga kwake yaani ilikua hadi nimtafute mwenyewe nimpe pango lake, nilikua naweza kaa hata mwaka simpi hata mia na nikimpa hata hahesabu anatia mfukoni anasepa. Ila sasa upange uswazi yaan mwenye nyumba anajua hadi tarehe za mshahara kama vile yeye ndio mfanyalazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio bread ener wa nchi hii nakula jasho langu mkuu
Walimu kama mshalipwa mtulipe bana hii gvt yenu si inawajali?
It pays you on time and a lot of money na mmeongezwa mishahara sijui madaraja nk.
So plz lipeni madeni yetu huku mtaani. Wiki hii ikiisha naanza kuwafukuza kwenye nyumba yangu.
Mimi sio bread ener wa nchi hii nakula jasho langu mkuu
Tuwe wavumilivu kidogo. Hela za mishahara ndiyo hizo walizokula akina Kangi Lugola na wenzao.Walimu kama mshalipwa mtulipe bana hii gvt yenu si inawajali?
It pays you on time and a lot of money na mmeongezwa mishahara sijui madaraja nk.
So plz lipeni madeni yetu huku mtaani. Wiki hii ikiisha naanza kuwafukuza kwenye nyumba yangu.
Awamu hii kila mtu kakabwa Koo mpaka watu wanauliza mshahara KWA kuzungukaNakuona chief unaulizia salary kijanja
Kuna mtu hali jasho lake mkuu?Mimi sio bread ener wa nchi hii nakula jasho langu mkuu