Walimu hawajiamini


Wamisosi

Wamisosi

Member
Joined
May 22, 2012
Messages
99
Points
95
Wamisosi

Wamisosi

Member
Joined May 22, 2012
99 95
MADENGE alimwambia baba yake kuwa hataenda shule tena na alipo hojiwa mambo yalikua hivi.
Baba:kwanini usiende shule?
Madenge: inaelekea walimu hawana uhakika na majibu yao
Baba:ki vipi
madenge: juzi wamesema 5+2=7, jana 4+3=7, leo wamesema 6+1=7, sijui kesho watasemaje huo si ubabaishaji?
From mwananchi
 
M

Meruone

Member
Joined
Jul 29, 2012
Messages
26
Points
0
M

Meruone

Member
Joined Jul 29, 2012
26 0
Kesho watamwambia 7+0=7: ndio matatizo ya watoto wa kipindi hiki cha kikwete kichwani empty labda wanasubiri udoctor wa kupewa kama rais wao!
 
Wamisosi

Wamisosi

Member
Joined
May 22, 2012
Messages
99
Points
95
Wamisosi

Wamisosi

Member
Joined May 22, 2012
99 95
Teh teh... Ndio wale badala yakufanya oparation ya kichwa wanafanya ya goti, hawa ndio wanafikiria kwa kutumia makalio baa
 
Williedm

Williedm

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Messages
508
Points
225
Age
28
Williedm

Williedm

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2011
508 225
mh wamisosi umechanganga mada
 
brightrich

brightrich

Senior Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
138
Points
0
brightrich

brightrich

Senior Member
Joined Nov 19, 2010
138 0
Kesho watamwambia 7+0=7: ndio matatizo ya watoto wa kipindi hiki cha kikwete kichwani empty labda wanasubiri udoctor wa kupewa kama rais wao!
Daaaah! Nimecheka hadi wenzangu ofisini wamenishangaa!! Hiki kizazi cha Dr. Dh...fu kazi kweli kweli.
 

Forum statistics

Threads 1,286,211
Members 494,902
Posts 30,887,440
Top