Walimu Bukoba kulazimishwa kulipia vitambulisho sh.10,000 ni halali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu Bukoba kulazimishwa kulipia vitambulisho sh.10,000 ni halali?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SELEMANI2012, Jan 21, 2012.

 1. S

  SELEMANI2012 New Member

  #1
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna uhalali wowote walimu wa Bukoba manispaa wa kulipishwa sh.10.000 kwa ajili yq vitambulisho katika zoezi la kuhakiki watumishi au ni mradi wa watu wachache wenye uchu wa pesa.Hii ilitokea trh 12/01/2012.Ili mwalimu ahakikiwe sharti awe na kitambulisho cha mkurugenzi wale wasiokuwa nacho walilazimika kulipia sh.10,000 badala ya sh.4,000.
   
 2. M

  MALAGASHIMBA Member

  #2
  Jan 21, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Kitambulisho ni haki ya mtumishi na ni wajibu wa mwajiri kumpa mfanyakazi kitambulisho,wamewaibia.
   
 3. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wizi mtupu!Nao waliokubali kulipishwa vitambulisho wana jivu kichwani!
   
Loading...