Walimu acheni kuwatesa wanafunzi

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
Adhabu ya shule.jpg
adhabu ya shule1.jpg


Wanafunzi wa Sekondari ya Isevya Manispaa ya Tabora walivyoadhibiwa na mmoja kati ya walimu wa shule hiyo,walipigishwa magoti kwenye mchanga uliopata joto la jua kwa zaidi ya saa tano.Je,hii adhabu ni sahihi?
 
Mhhh! Hiyo ni too much aisee nadhan vijana wa kwa mujibu hao yaan ni balaa humo mashuleni mambo waliyo kuwa wanawanafanyiwa huko jeshini wamehamishia kwa wanafunzi ingawa na wanafunzi nao ni wakorofi sana lakini kwa hali hiyo hapana aisee kama ni mwanangu isee huyo mwalimu atanieleza kisa chakumsababishia madhila hayo mwanangu.
 
Back
Top Bottom