WALIKUWA WANAKUITA NICK NAME GANI KIPINDI UPO SHULE?

wewe wanaume huwajui, yan kila mwanamke darasani alikuwaga ananickname yake kama code ya ninyi msielewe nan anaongelewa sisi kwetu walikuwepo kina mzunguu(mweupe sana huyu) , matakoo(huyu anabusta ya kutosha), sony wega( huyu yeye ni flat), antelope( haka ni kakimbaumbau kanamakeke sana ila bed kama mwanamke wa mcuhngaji), ahahaha nlikuwa nacheka ukiwakuta wahuni wanawachambua utasema wanafanya prematch analysis, na wanawake hakuna hata mmoja alokuwa anajua hayo majina yao waliobatizwa na masela
Narudia, mimi sikuwa na nickname
 
Hanscana
Nilikua nikiangalia trace urban au music nawaambia hii kashoot flani hata aijaanza nilikua nawajua directors wengi sana wa africa cc wamidosho
 
Back
Top Bottom