Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,786
- 13,559
Nakumbuka mi nlikuwa naitwa mwarabu koko
Mr. Corruption, kiranja wa Debate , Shule moja ya Seminari Maarufu. Ukiongea kiswahili nikakumata ni either ulete pesa kigogo au nikukatie ardhi ya kupalilia Orchard kilomita za mraba za kutosha.