OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,185
- 103,688
Mziki wa huyu jamaa ni mziki wa roho ya paka. Hanyamazi,ukiweka ugoko anaweka chuma. Haachi neno au kijineno kikapita.
Tundu Lissu amevuka death row(mstari wa kifo) na amekuwa jasiri kuliko mwanzo. Sanasana atakupanikisha tu. Sote tumeona balozi Masilingi alivyoaibika katika kiwango cha SGR
Wauaji walidhani angenyamaza kama Dr.Ulimboka kumbe waapi wamefungulia mzinga wa nyuki.
Wangekuwa na uelewa kama wangu wangejua wanashindana na Mungu. Mungu amefanya muujiza kumuokoa kiumbe wake lakini bado muuaji unaleta jeuri.
Damu ya mtu haipotei hivihivi