kadakokigondile JF-Expert Member May 17, 2013 1,872 634 Dec 3, 2013 #2 Nayajua yapo aina mbili ya rangi ya manjano na rangi nyekundu
muhomakilo jr JF-Expert Member Jul 28, 2013 13,427 9,922 Dec 3, 2013 #3 pombe yake loo tamu si mchezo.
M MPUNGA JF-Expert Member Nov 10, 2010 838 559 Dec 3, 2013 #5 Bibo ~ Cashew Apple hutumika kutengeneza kinywaji murua kinachoitwa "ulaka" Yakikauka ni malighafi nzuri ya kutengenezea "first class machozi ya Simba"
Bibo ~ Cashew Apple hutumika kutengeneza kinywaji murua kinachoitwa "ulaka" Yakikauka ni malighafi nzuri ya kutengenezea "first class machozi ya Simba"