Walidhani Ezekiel Wenje na Lawrence Masha hawatoki kanda ya Ziwa?

Kuna tofauti kati ya technical decision and nepotism!!!!
Mleta mada haeleweki. Nia yake ni kuficha ukweli. Wakina wenje walichaguliwa na viongozi kwavigezo maalum. Ccm wakawatoa kwa ajili ya chukiwalizokuwa nao tangu wakihame chama chao. Badala yake kupendekeza amateurs wasio na uzoefu kabisa kuleta aibu Tanzania kwa ajili chuki. Shame on us. We cannot even look after the intetests of our nation.
Sasa kama walipigiwa kura wakashinda wafanyaje? There is a hell of a difference watu kupiga kura na kuteua. Kihistoria, nchi hii imekuwa ikiongozwa kwa umakini mkubwa sana wa ku-balance.
 
Watanzania hatujawahi kufikiria ukanda katika maisha yetu ya kijamii na kisiasa. Mimi kuna watu ninafanya nao kazi/biashara hata siwafahamu kabila lao achilia mbali sehemu wanayotoka.

Walichofanya CHADEMA kupitia kwa Tundu Lissu kinafanya tuanze kuuliza maswali ambayo wao wenyewe wana majibu kwa sababu wanaziangalia siasa nchini kwa jicho la ukanda na ukabila.

CHADEMA inayolalamika kuwa Rais Magufuli anapendelea kanda ya Ziwa imesahau kuwa ilipeleka majina mawili ya Ezekiel Wenje na Lau Masha ambao ni wanachadema kutoka kanda ya Ziwa ili wakachaguliwe kuwa wabunge wa bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki wakati ina wanachama katika maeneo mengine ya nchi.

Kupeleka bungeni watu wawili wanatoka katika kanda moja na dini moja hawakuona kama ni kupendelea kanda ya Ziwa?

CHADEMA haikuona kuwa kufanya hivyo ni kuendelea kutoa nafasi/vyeo/madaraka kwa watu wa kanda ya ziwa? Au huo ukanda wanauona kwa wengine tu?

Kama vigezo vya kuwateua havikuhusu ukanda, kwa nini wanadhani wengine watateua kwa vigezo vya ukanda?

Kilichoshangaza zaidi, CHADEMA ilipewa nafasi mbili za kuteua majina na ikatumia nafasi hizo kuteua majina ya watu wa kanda ya ziwa na wenye imani ya dini moja. Kwa nini hawakuteua majina kutoka kanda zingine ili ‘’kupunguza’’ wanaoteuliwa kutoka kanda ya Ziwa kama wanajua kuwa Rais Magufuli anapendelea watu wa kanda ya ziwa?

Wabunge hawakuwapa kura za ushindi kina Wenje na Masha ili kuingia EALA kwa sababu wanatoka kanda ya Ziwa bali walikataliwa kwa sababu wabunge walijua hawatoshi.

Mwandishi wa vitabu wa Kimarekani E. W. Howe aliwahi kusema, ‘’A thief believes everybody steals’’.

Mimi ninasema, mbaguzi hudhani kila mtu ni mbaguzi.

pic+EALA+results.jpg

Ezekiel Wenje na Lawrence Masha wakiwa kanisani.
Dah mbona hoja nyepesi namna hii HIVI SISI NDIO great thinker kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mlamba miguu hapo lumumba naona lissu amewakamata makalioni sawasawa maana tokea juzi huna post mpya zaidi ya hizi za tundu lissu

Huwezi kugeuza maneno ya lissu kwa kulialia kwenye mitandao
Kama wewe huwa unakamatwa makalio yako usidhani hata binadamu wengine wanakamatwa.

Ningekuwa ninalia usingepoteza muda wako kwenye thread yangu.
 
Nyaningabu you are the top full. Unapomtukanamtu wakati yuko hospitali kwa majeraha aliyopewa na unayemtetea ni dhambi ya mauti. Uwe na subira. Ukweli utajulikana. Ni nani anaendekeza ukanda na udini. Tunamwomba Mungu na halafu tukigeuka tu tunampiga mtu shaba!
 
Back
Top Bottom