Walidhani Ezekiel Wenje na Lawrence Masha hawatoki kanda ya Ziwa?

Lissu amesema Tanzania kuna Ukabila na undugulization na akatuambia kuna fulani ni mpwa wa fulani, kuna fulani ni mjomba wa fulani na kuna fulani ni kabila moja na fulani tena kawataja watu wa vyeo vya juu kabisa bila woga, Sasa kumjibu Lissu hakuhitaji maneno meeeengi ila nyie kutuambia sio kweli, fulani hana undugu na fulani, fulani yeye ni Mzaramo sio Msukuma na ushahidi huu hapa..Mbona majibu ni rahisi tu kama jibu Si kweli??
 
Mnapomjibu Lissu msitumie Propaganda, Propaganda zinatengeneza Mabomu kwa watanzania..
 
Hizo tuhuma za Lissu ni bullshit.

Hao wote aliowataja jana [kuhusu kuteuliwa kwao na Magufuli na eneo watokako] mimi hata sikujua wanatoka huko.

Sikujua Kamanda Sirro ni mtu wa kanda ya ziwa.

Sikujua Mwanasheria mkuu ni mtu wa kanda ya ziwa.

Na sikujua mkuu wa majeshi ni mtu wa kanda ya ziwa.

Ukiona mtu anatumia matusi, lugha ya kejeli, anatoa tuhuma za ukabila, udini, jinsia, na kadhalika basi ujue mtu huyo kafilisika kifikra na ki hoja.

Tanzania hii, ukanda wa ziwa ni sehemu kubwa sana. Ni sehemu yenye watu wengi sana.

Sasa katika watu wote wenye asili ya huko watakosekana kweli walio na sifa za kushikilia nafasi mbalimbali za serikali ya nchi?

Huyo so called wakili msomi hatukumsikia akiwapinga hao alowataja kwa kusema kuwa hawana sifa za kushikilia hizo nyadhifa walizonazo.

Alitaja tu kuwa eti wanatokea kanda ya ziwa ambako ndiyo atokeako na rais pia.

Supposedly hiyo ndo objection yake dhidi yao.

Tundu Lissu is a fool.

mkuu nyani, umemaliza kila kitu..
 
Mkuu umeongea vizuri kuwa hukuwa ukijuwa hao wote ni wakanda yenu.basi kupitia Lissu ameweza kukufahamisha.je unaonaje kwa muktadha mzima kwani wapo wengi hata wa elimu nae yumo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huoni kuwa kwa kusoma na kujadili hoja zangu unanipigia chapuo la biashara ya siasa?

Ungekuwa unawaza ipasavyo nadhani usingepoteza muda wako kusoma na kutoa komenti kwenye mada ya watu wasiowaza ipasavyo!
Jibu makini sana kwa wanaojifanya wajuaji huku hata kuanzisha uzi tu shida.
 
Hizo tuhuma za Lissu ni bullshit.

Hao wote aliowataja jana [kuhusu kuteuliwa kwao na Magufuli na eneo watokako] mimi hata sikujua wanatoka huko.

Sikujua Kamanda Sirro ni mtu wa kanda ya ziwa.

Sikujua Mwanasheria mkuu ni mtu wa kanda ya ziwa.

Na sikujua mkuu wa majeshi ni mtu wa kanda ya ziwa.

Ukiona mtu anatumia matusi, lugha ya kejeli, anatoa tuhuma za ukabila, udini, jinsia, na kadhalika basi ujue mtu huyo kafilisika kifikra na ki hoja.

Tanzania hii, ukanda wa ziwa ni sehemu kubwa sana. Ni sehemu yenye watu wengi sana.

Sasa katika watu wote wenye asili ya huko watakosekana kweli walio na sifa za kushikilia nafasi mbalimbali za serikali ya nchi?

Huyo so called wakili msomi hatukumsikia akiwapinga hao alowataja kwa kusema kuwa hawana sifa za kushikilia hizo nyadhifa walizonazo.

Alitaja tu kuwa eti wanatokea kanda ya ziwa ambako ndiyo atokeako na rais pia.

Supposedly hiyo ndo objection yake dhidi yao.

Tundu Lissu is a fool.
Nyani you have made my day maana huwa nashindwa kuwaelewa watu wanapoilinganisha Kanda ya Ziwa na Kanda nyingine bila kuangalia idadi ya mikoa na wakazi wake. Kwa kawaida Kanda ya Ziwa ina mikoa ya Mwanza, Geita, Shinyanga, Simiyu, Kagera na Mara. Hata hivyo kutokana na mahusiano makubwa ya kiutamaduni na kijamii, Kanda hiyo huwa kati mwingine inajumuisha na Mikoa ya Tabora na Kigoma na kufanya jumla ya mikoa nane kati ya 25 Bara na wakazi milioni 16 kati ya milioni 43 kwa sensa ya 2012.
 
Hizo tuhuma za Lissu ni bullshit.

Hao wote aliowataja jana [kuhusu kuteuliwa kwao na Magufuli na eneo watokako] mimi hata sikujua wanatoka huko.

Sikujua Kamanda Sirro ni mtu wa kanda ya ziwa.

Sikujua Mwanasheria mkuu ni mtu wa kanda ya ziwa.

Na sikujua mkuu wa majeshi ni mtu wa kanda ya ziwa.

Ukiona mtu anatumia matusi, lugha ya kejeli, anatoa tuhuma za ukabila, udini, jinsia, na kadhalika basi ujue mtu huyo kafilisika kifikra na ki hoja.

Tanzania hii, ukanda wa ziwa ni sehemu kubwa sana. Ni sehemu yenye watu wengi sana.

Sasa katika watu wote wenye asili ya huko watakosekana kweli walio na sifa za kushikilia nafasi mbalimbali za serikali ya nchi?

Huyo so called wakili msomi hatukumsikia akiwapinga hao alowataja kwa kusema kuwa hawana sifa za kushikilia hizo nyadhifa walizonazo.

Alitaja tu kuwa eti wanatokea kanda ya ziwa ambako ndiyo atokeako na rais pia.

Supposedly hiyo ndo objection yake dhidi yao.

Tundu Lissu is a fool.

ila Lissu anaweza kuwa ana ujinga mwingi lakini kuna vitu viwili ana point swala la BASHITE na mbunge wa chato, uyu mmoja kafoji vyeti ila anakingiwa kifua wakati wenye makosa kama hayo wapo jela pia mbunge wa chato kwa nafasi yake alihusika kwenye ufisadi ila kaachwa wakati wenzake wanatuhumiwa, ivi vitu viwili kuna kitu hapa Lisu ana haki zote kulia mashaka
 
Hizo tuhuma za Lissu ni bullshit.

Hao wote aliowataja jana [kuhusu kuteuliwa kwao na Magufuli na eneo watokako] mimi hata sikujua wanatoka huko.

Sikujua Kamanda Sirro ni mtu wa kanda ya ziwa.

Sikujua Mwanasheria mkuu ni mtu wa kanda ya ziwa.

Na sikujua mkuu wa majeshi ni mtu wa kanda ya ziwa.

Ukiona mtu anatumia matusi, lugha ya kejeli, anatoa tuhuma za ukabila, udini, jinsia, na kadhalika basi ujue mtu huyo kafilisika kifikra na ki hoja.

Tanzania hii, ukanda wa ziwa ni sehemu kubwa sana. Ni sehemu yenye watu wengi sana.

Sasa katika watu wote wenye asili ya huko watakosekana kweli walio na sifa za kushikilia nafasi mbalimbali za serikali ya nchi?

Huyo so called wakili msomi hatukumsikia akiwapinga hao alowataja kwa kusema kuwa hawana sifa za kushikilia hizo nyadhifa walizonazo.

Alitaja tu kuwa eti wanatokea kanda ya ziwa ambako ndiyo atokeako na rais pia.

Supposedly hiyo ndo objection yake dhidi yao.

Tundu Lissu is a fool.
Wewe hukujua! Unafikiri aliekua akiteua hakujua pia!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu mnapongezana kwa madudu haya uliyoandika unanikumbusha wabunge wa ccm ni kama upepo unabadili uelekeo wakati wowote...
 
Chadema ni wajinga sana! Wanamsapoti Lisu kwa huu ujinga wake.

Nina marafiki zangu ni chadema damu kutoka kanda ya ziwa lkn sasa hivi wanasema kwa kauli ile ya Lisu watamuunga mkono Magu maana inaonekana kumbe hata chadema ingeshika dola ingeendekeza ukaskazini wake!

Chadem wajiandae kupata kura 0 2020 kutoka kanda ya ziwa!

......
 
Watanzania hatujawahi kufikiria ukanda katika maisha yetu ya kijamii na kisiasa.

ETI HAMJAWAHI KUFIKIRIA...Hivi nyie watu mnadhani wote ni wajinga kama ninyi

ambaye kila siku anakomaa ooh CHADEMA chama cha kaskazini ni nani?

Au mkuki ni mtamu kwa nguruwe?

Mna laana nyie sio bure
 
suala la ukanda hapa nchini halijaanza leo. kipindi kile ilikuwa kila kitu kanda ya kaskazini. kwasasa kila kitu ni kanda ya ziwa. ama kidogo kusini. na kusini kwenyewe ni lindi. wadau tuupinge ubaguzi utamaliza taifa letu.
Sikubali kama kuna ukanda nchini ila tu baadhi ya watu/wanasiasa wanajaribu kulifanya ni suala la kitaifa kwa sababu ya sababu zao ambazo ninadhani ni sababu za kishetani.
 
Chadema ni wajinga sana! Wanamsapoti Lisu kwa huu ujinga wake.

Nina marafiki zangu ni chadema damu kutoka kanda ya ziwa lkn sasa hivi wanasema kwa kauli ile ya Lisu watamuunga mkono Magu maana inaonekana kumbe hata chadema ingeshika dola ingeendekeza ukaskazini wake!

Chadem wajiandae kupata kura 0 2020 kutoka kanda ya ziwa!

......

Khaaaaa...uNADHANI HATA CHADEMA INGEPATA KURA ASILIMIA 700% HUYO MUNGU WENU ANGEWAPA MADARAKA

ATAPORA TU

HUYO Mtu wenu ni MUNGU TU ANAJUA...ILA HAFAI
 
Lisu sasa hivi sio wakujibiwa na watu makini JF tumdharau tu kwa ujinga na upumbavu wake
Mimi nadhani kwa sasa anajaribu kutupa karata ya mwisho (kitchen sink) kwa sababu pamoja na kupiga kelele nyingi lakini hakuna taasisi makini inayomsikiliza.
 
Hizo tuhuma za Lissu ni bullshit.

Hao wote aliowataja jana [kuhusu kuteuliwa kwao na Magufuli na eneo watokako] mimi hata sikujua wanatoka huko.

Sikujua Kamanda Sirro ni mtu wa kanda ya ziwa.

Sikujua Mwanasheria mkuu ni mtu wa kanda ya ziwa.

Na sikujua mkuu wa majeshi ni mtu wa kanda ya ziwa.

Ukiona mtu anatumia matusi, lugha ya kejeli, anatoa tuhuma za ukabila, udini, jinsia, na kadhalika basi ujue mtu huyo kafilisika kifikra na ki hoja.

Tanzania hii, ukanda wa ziwa ni sehemu kubwa sana. Ni sehemu yenye watu wengi sana.

Sasa katika watu wote wenye asili ya huko watakosekana kweli walio na sifa za kushikilia nafasi mbalimbali za serikali ya nchi?

Huyo so called wakili msomi hatukumsikia akiwapinga hao alowataja kwa kusema kuwa hawana sifa za kushikilia hizo nyadhifa walizonazo.

Alitaja tu kuwa eti wanatokea kanda ya ziwa ambako ndiyo atokeako na rais pia.

Supposedly hiyo ndo objection yake dhidi yao.

Tundu Lissu is a fool.
Kwa hiyo na yale maneno yenu
Eti cdm ni ya kaskazini,
Cuf wana udini
Tuyaitaje,ujinga ama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu;

Sikutegemea kusikia alichokisema.

Kinachoshangaza zaidi, Tundu Lissu sio siku nyingi alisema Rais Magufuli hamuamini Naibu Jaji Mkuu ndio maana mpaka sasa hajamteua kuwa Jaji Mkuu, Juzi tena anakuja na madai akisema Rais Magufuli amemteua Naibu Jaji Mkuu kwa sababu anatoka kanda ya Ziwa.

Sasa kama Rais Magufuli anateua kwa kupendelea kanda ya Ziwa, inakuwaje anamteua mtu kwa kigezo cha ukanda halafu hapo hapo anakuwa hamuamini? Hoja zake zinagongana kimantiki.

Jamaa amekuwa mropokaji mzuri sana na mbaya zaidi anasahahu hata alichokisema kabla ya kusema hoja nyingine.
tunda amechanganyikiwa
 
Back
Top Bottom