Walidai Magufuli Anatekeleza Ilani ya UKAWA, mbona wamekimbilia mahakamani kuipinga ilani yao?

Ipililo

Senior Member
Dec 19, 2015
107
83
MAGUFULI anatekeleza sera na ilani ya UKAWA,sasa mbona kwenye BOMOA BOMOA mnapiga yowe? Ilani yenu si ndiyo inafanya kazi au mmechoka Kuzungusha mikono?

Sijawahi kuona watu wametengeneza ilani na wamekimbia kuipinga mahakamani ilani yao
 
Last edited by a moderator:
usipende kukariri kama kichwa panzi.
baadhi ya sera ambazo zipo kwenye ilani ya UKAWA zinatekelezwa na Pombe, baadhi hazitekelezwi.
hiyo ya bomoabomoa haipo kwenye Ilani zote mbili.
Tuthibitishie hilo mkuu.
Prove.
Tuonyeshe ilani ya UKAWA hapa
Unayodai imetekelezwa na mh magufuli

Screen shot tu.
Usiandike maneno matupu
 
MAGUFULI anatekeleza sera na ilani ya UKAWA,sasa mbona kwenye BOMOA BOMOA mnapiga yowe? Ilani yenu si ndiyo inafanya kazi au mmechoka Kuzungusha mikono?

Sijawahi kuona watu wametengeneza ilani na wamekimbia kuipinga mahakamani ilani yao

Kwahiyo kubomoa makazi ya watu nayo ni ilani...unaelewa hata ulichoandika?
 
usipende kukariri kama kichwa panzi.
baadhi ya sera ambazo zipo kwenye ilani ya UKAWA zinatekelezwa na Pombe, baadhi hazitekelezwi.
hiyo ya bomoabomoa haipo kwenye Ilani zote mbili.
Teh Teh Bavicha bhana...bomoa bomoa ni mpango wa kuwa na makazi bora na salama kwakuwa umekiri kuwa nyie mgeendelea kuwaacha wananchi wavunje sheria na kuwaacha wasombwe na mafuriko ..basi na wapongeza sana watanzania kwa kuwakataa....
 
Back
Top Bottom