mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,207
- 1,755
Nime experience ugumu wa kurejesha account ambayo nilitumia muda mrefu kidogo.
Issue ilikuwa hivi nilidondosha simu sijui wapi, nikapoteza na simcard humo humo ambayo ndo nilitumia kusajili PayPal nikaona haina shida number yenyewe sikuikalili isipokuwa tarakimu za mwisho, customer care wakazingua wakati waku renew enzi hizo Hakuna mambo ya kureport kwa police nikaipoteza.
Sasa Leo nalogin Kule PayPal napewa confirm kwa email na baada ya hapo nikafikiri nimemaliza nikashangaa wananambia malizia kukonfirm kwa phone number hapo nikasema Sina hiyo number ngoja nijaribu njia nyingine narudishwa kwenye phone number hapo ndo nikasema nimejipa hasara maana hata ukijaribu kuwasiliana nao wanataka uingie kwanza Kisha utumie Ile email yao vipi imekaaje hapa.
Hebu wadau wa PayPal Kama umewahi experience hii trouble umefanikiwa vipi kutatua kinachoniuma Ni zile pesa.
Embu kujeni mtoe solution.