Walichofanya HELSB sio haki!

Jamani hujaa tulikuwa tunasoma naye lkn kanywa sumu kafa.

R. I. P Umomi huu siyo utani. Dogo nilikuwa nafahamiana naye sana kafariki 28/07/2020 usiku
 
Jamani kwa kilichotokea Leo kutoka kwa Loan board siyo kitu cha kiungwana kwa watoto wa masikini Kama Mimi. Em fikiria nimepewa 306000 hapo crdb hawajakata chao.

Madeni ni Kama ifuatavyo
Ada -250000
Kodi ya nyumba - 120000
Boom advance - 124000 hivi kweli hapa nitamaliza chuo Mimi.

Huu naona ni wakati mwafaka wa kuacha chuo japo bado wiki 5 tu nimalize
Kumbuka hata hizo pesa za boom zinatokana na walipa kodi maskini wasio na elimu wanaolipa baadae zinatengwa kwa ajili ya mikopo ya university...

Kwa hiyo mjinga anamsomesha mjinga akipata akili anajiona mwenye akili kuzidi kila mmoja
 
Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi.
Nimeuona uzi huyu jamaa kanywa sumu, naona ulienda kweli kumsaidia kukoroga sumu na kumtengea ainywe,
So sad
 
Back
Top Bottom