Walichofanya HELSB sio haki!

Hivi mnajua lakini kuwa hali ni ngumu kotekote eeh?
Yeaah cc tunajua ila hakuna namna acha tuwaangukie tyuuuh, yaan jana na4wadiwa km text, namchek huyu anan 4wad kwa mwingne nlkua km mpira wa kona, lakini lengo langu lilifanikiwa. Mtusamehe tyuuuh wallah
 
Kwamba bajeti ya boom imeenda kufanya kazi nyingine
Mbona walimu walikuwa nyumbani na walilipwa,hizi za wanachuo zinawauma sana!?!!
Aki kuna vitu vinachekeshakama movie
Mkataba, walimu tuna mkataba wa kudumu. Nyie mkataba wenu mwalipwa kulingana na idadi ya siku za masomo.
 
Tena tigo nusu
Bajeti za mihogo Sasa
Screenshot_20200725-221142.jpg
 
Mkataba, walimu tuna mkataba wa kudumu. Nyie mkataba wenu mwalipwa kulingana na idadi ya siku za masomo.
Mkataba Ni kupewa 2,080,000 kwa mwaka na mwaka wa masomo ulivyoanza walionyesha huo mkataba.
Kwanini wafokee wanafunzi na hela hizo??
 
Jamani kwa kilichotokea Leo kutoka kwa Loan board siyo kitu cha kiungwana kwa watoto wa masikini Kama Mimi. Em fikiria nimepewa 306000 hapo crdb hawajakata chao.

Madeni ni Kama ifuatavyo
Ada -250000
Kodi ya nyumba - 120000
Boom advance - 124000 hivi kweli hapa nitamaliza chuo Mimi.

Huu naona ni wakati mwafaka wa kuacha chuo japo bado wiki 5 tu nimalize
Acha tu mkuu njoo kitaani *****
 
Back
Top Bottom