GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,548
- 108,861
- Thread starter
- #21
Makosa ya viongozi wetu kuendesha Nchi kwa misaada haibidilishi msimamo wangu tunaweza kujitawala na mimi ni mtu huru. Kama unaamini kuna binadamu pande Fulani za hii dunia akikutawala atakubadilisha maisha yako kwasababu upeo wako ni mdogo basi hongera for the slave mentality.
Kutoka 1961 hadi leo hii 2018 tunasaidiwa ' almost 65% to 75% ' na Mataifa Matajiri halafu bado kuna ' Mswahili ' mmoja anajitutumua kabisa kwa Kujidanganya kuwa tunaweza Kujiongoza wenyewe. Kuna muda mwingine Rais wa Marekani Trump akiwa anatutukana / anatudhihaki Waafrika huwa hakosei kabisa. Leo ndiyo nimeamini rasmi!