Walengwa wa jukwaa hili! Naombeni nijue hili la MB wangu G. Lema! Nipo nyuma kidogo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walengwa wa jukwaa hili! Naombeni nijue hili la MB wangu G. Lema! Nipo nyuma kidogo!!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by LiverpoolFC, Apr 19, 2012.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Hakika nipo nyuma!

  Hili la kukata rufaa kwa Mbunge wangu tajwa hapo juu litaanza kusikilizwa lini?

  Kwa kuwa nina IMANI ya kwmb humu tuna kila aina ya member!
  Naombeni nieleweshwe vema kbs mambo ya rufaa aliyekata Mbunge wangu ya kwmb itaanza kusikilizwa lini,na ni kwa sbb gani iwe hivyo kupelekwa mbali hivi.
  Maana Mi naona kama imesogezwa mbele sana!

  Mwenye kujua mambo ya rufaa anijuze vema ajuavyo!

  Samahani kwa usumbufu wowote ule wadau!!

  Hakuna kulala mpaka kieleweke!


  NAWASILISHA HILI KIVYANGU!!
   
Loading...