Walemavu wahoji: Serikali ya Magufuli ni katili hivi? Hatujawahi fanyiwa hivi na serikali yoyote

Yoyote alieinua mkono wake kwa hao walemavu kuwapiga ama waliohusika kwa namna moja ama nyingine kufanikisha wao kupigwa basi na wao watapata ulemavu kama sio wao basi watoto wao na kizaz chao
Nilimia sana kuona zile video sjawah kuona ukatili wa namna ile kwa walemavu ukifanywa na polisi
 
Poleni sana ndugu zangu. Wakati mwingine kuna watendaji wako kama Robot. Ukimprogramu aende kushoto hawezi kwenda kulia hata kama kuna moto. Kwa sababu hawezi kutumia akili yake. Mimi hata ukanishikia kisu jioni siwezi kumshusha Mlemavu kwenye Bajaji yake. Ile ndio miguu yake. Ni kama Mtumishi kungoa Mazao ya wenye njaa Shambani. Ni laana isiyoondoka ya 4Generations!!
 
Poleni sana ndugu zangu. Wakati mwingine kuna watendaji wako kama Robot. Ukimprogramu aende kushoto hawezi kwenda kulia hata kama kuna moto. Kwa sababu hawezi kutumia akili yake. Mimi hata ukanishikia kisu jioni siwezi kumshusha Mlemavu kwenye Bajaji yake. Ile ndio miguu yake. Ni kama Mtumishi kungoa Mazao ya wenye njaa Shambani. Ni laana isiyoondoka ya 4Generations!!
 
Sisi tutakuwa watu milioni sita na kila MTU atakuwa mawe sita mkononi...umeshawahi kuona vita ya mawe watatelekeza mikwasa


!
!
Kaka hawa jamaa kuwakabili inahitaji mkakati wa maana. Sio Huu wa sijui kuomba kibali cha maandamano sijui ujinga gani. Raia ni wengi sana wakiamua kwa pamoja hakuna kinachoshindikana
 
Wanafiki hawa walemavu wanasema magufuli anaharibiwa na wasaidizi wake,mi nasema sio kweli magufuli ndiye anayetuma wasaidizi wake kufanya hayo yanayofanywa,adui wa kwanza tz ni magufuli kwa sasa.
 
Viongozi wa walemavu wameonesha juhudi, mipango-rafiki na maarifa ya jinsi walivyotaka wajiendeshee maisha yao kwa kujitegemea na kuwakilisha maombi,utatuzi wa changamoto na mapendekezo mazuri sana kwa serikali ya Tanzania.

Katika miji ya nchi zilizoendelea kuna kanuni na sheria ndogo ndogo za halmashauri za miji na manispaa ambazo huangalia mahitaji maalum ya watu wa kundi lenye ulemavu.

Mfano kwa walemavu, huwa wana punguzo au bure gharama kwa ajili ya parking ktk miji, kuwa ktk kila eneo la egesho kuna sehemu kadhaa maalum kwa walemavu, huduma za choo maalum kwa wenye ulemavu, afya, elimu, majengo kujengwa yakitilia maanani mahitaji maalum ya walemavu n.k

Hivyo majiji, manispaa na halmashauri za wilaya wanaweza kuweka utaratibu maalum wa jinsi ya kuwaingiza katika taratibu na kanuni kwa kutoa vibali, leseni n.k huku wakiishirikisha serikali kuu, serikali za mitaa, Polisi na mgambo wa miji/manispaa ili wananchi wenye ulemavu waendelee na shughuli zao bila usumbufu.
 
Kuwa mlemavu isiwe kisingizio cha kuvunja sheria au kutokufuata sheria bila shuruti, labda wameelewa pia, sisi tushanyooka, labda wenzetu walikuwa hawajaisoma namba!
 
Huyo aloomba msamaha walemavu alikuwa anajibalaguza tu,wamepigwa zaidi ya siku 3 nyuma yeye ndo anakuja kuomba msamaha leo na wale waliowapiga ni watu wa chini yake na amewaacha
 
Back
Top Bottom