EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,091
Leo wakati nakuja kibaruani kwangu, ndani ya gari tulikuwa tunasikiliza radio na wakati huo walikuwa wanachambua magazeti na nikasikia stori iliyonichekesha sana.
Katika mchakato wa kukusanya maoni ya katiba kuna bwana mmoja amedai yeye kwenye katiba mpya anataka wale wote wanaozaa nje ya ndoa wafungwe (kwa maana ya mwanaume na mwanamke) Nikacheka na nikawaza ahead kidogo;

- Hivi kwa mfano hilo likipitishwa ni watu wangapi watafungwa?
- Maana ya hii ni kwamba hata wale walioko kwenye ndoa lakini wamewadunga mimba wa pembeni nao jela,
- Na sasa itabidi ipitishwe DNA test kwa wote ili kujua kama watoto waliozaliwa kwenye ndoa kweli ni wa baba hao walioko kwenye ndoa,