Wale wote wanaozaa nje ya ndoa wafungwe!!!!!

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,090
Leo wakati nakuja kibaruani kwangu, ndani ya gari tulikuwa tunasikiliza radio na wakati huo walikuwa wanachambua magazeti na nikasikia stori iliyonichekesha sana.

Katika mchakato wa kukusanya maoni ya katiba kuna bwana mmoja amedai yeye kwenye katiba mpya anataka wale wote wanaozaa nje ya ndoa wafungwe (kwa maana ya mwanaume na mwanamke) Nikacheka na nikawaza ahead kidogo;
  1. Hivi kwa mfano hilo likipitishwa ni watu wangapi watafungwa?
  2. Maana ya hii ni kwamba hata wale walioko kwenye ndoa lakini wamewadunga mimba wa pembeni nao jela,
  3. Na sasa itabidi ipitishwe DNA test kwa wote ili kujua kama watoto waliozaliwa kwenye ndoa kweli ni wa baba hao walioko kwenye ndoa,
Hivi ni wangapi watabaki kuwa clean?
 
hahaa we utapona?
 
Wakifungwa nani atalea hao watoto...!
Maana serikali haiwezi kwa sababu tunawaona watoto wa mitaani kila kukicha............!:confused2:
 
Mbona tupo wengi tena sana....

Tatizo ni kwamba hata tukisema hivi watu hawatuamini na wengine wanaishia kutuchukia...

Tumeamua kunyamaza tu....

Kwani hukumsikia Mtambuzi...ten years bila kugusa mizigo ya nje....It's no joke ila watu wapo wengi!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaaa mi nahisi naweza kubaki peke yangu tu

Unahisi? That's interesting!!
Ngoja tuone wadu wengine wanasemaje

Hii ikikubalika itafunga hata Mr. Msafiri, sidhani kama kinga ya Ikulu itaapply kwa hili jambo! nataman huyo aliyetoa hilo wazo ahojiwe tuweze kujua nini kipo nyuma ya pazia
 
Baadae nilimuwaza huyo jamaa nikahisi kuna uwezekano mkubwa yeye ana watoto wa kike wengi, bahati mbaya jamaa wakapita nao wakawatia mimba halafu wakala kona. Mzee akawa na wazo la kuwatimua lakini mama akatia ngumu, so anawaona kila siku home na vitoto vyao anapata hasira lakini hana la kufanya
 
loh!loh!loh!
maoni mengine bana!
sasa hapo si kutafutana ubaya ubayani lol!
 
I support 100% kwanza dini hairuhusu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wakifungwa nani atalea hao watoto...!
Maana serikali haiwezi kwa sababu tunawaona watoto wa mitaani kila kukicha............!:confused2:

Serikali yenyewe haitabaki wote wataafungwa, viongozi ndio wanaongoza kwa kutotoa njee ya uwanja muulize baba mwanaasha na mzee wa katavi
 
Back
Top Bottom