DahHivi wadau hapa mjini simu za Xiaomi zapatikana wapi? nilionaga bango lao pale M/CITY kuwa sasa ziko mjini lakini kila nikiulizia wengine hawazijui wanaishia kunionyesha TECNO zilizochangamka (infinix)
Hizo ni kwa kuagiza nje.. njoo inbox... Mi nimepata redmi 8 A iko poa sana... Ram 4 gb na memory 64 gb..
Uniuzie mimiHizo ni kwa kuagiza nje.. njoo inbox... Mi nimepata redmi 8 A iko poa sana... Ram 4 gb na memory 64 gb..
Lazima uwe na salio la kawaida sio salio la kifurushi ndio utaweza ku activate. Weka salio la kutosha Kisha jaribu ku activate simcardWakuu hii shida nanyie mnaipata? Since nimenunua simu kila nkiiwasha inafail kuactivate simcard mpaka sielewi kule kwenye mi protection inakuaje
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
View attachment 1567989
Copy thatLazima uwe na salio la kawaida sio salio la kifurushi ndio utaweza ku activate. Weka salio la kutosha Kisha jaribu ku activate simcard
Ngoja nikulink na Jose maphone Mimi ndio aliniletea brand newHivi wadau hapa mjini simu za Xiaomi zapatikana wapi? nilionaga bango lao pale M/CITY kuwa sasa ziko mjini lakini kila nikiulizia wengine hawazijui wanaishia kunionyesha TECNO zilizochangamka (infinix)
Hivi wadau hapa mjini simu za Xiaomi zapatikana wapi? nilionaga bango lao pale M/CITY kuwa sasa ziko mjini lakini kila nikiulizia wengine hawazijui wanaishia kunionyesha TECNO zilizochangamka (infinix)
Mkuu hii picha mbona haionekani clear?
Karibu inbox..Uniuzie mimi
Me mwenyewe nauzaKaribu inbox..
Tatizo ukipokea tu inajiturn off au ukipiga. Sometimes inakibali sometimes inagoma. Nlijaribu kuchek solutions Ila wanaleta mambo ya proximity sensor wakati hii model hainaHebu ikiwa inaita weka loudspeaker kabla mtu hajapokea.. Jaribu hivyo
we hapo utapata redmi not7Mi na Budget kama ya laki 350k hivi je ntapata device hii Aina gani
Na itakuwa naubora ganii na uwezo gani kuzidi hii sumsung yangu ya s6 wakubwaa.
Nawasilishaa
Betri yske ni ngapi? Na kamera ikojewe hapo utapata redmi not7
betri 5000 camera sikumbuki vizuriBetri yske ni ngapi? Na kamera ikoje
Price yake, na zinapatikana wapi?betri 5000 camera sikumbuki vizuri