Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Ndio iko njema ila Inategemea mahitaji yako mkuu
Specifications zake ni hizo ila ukitaka yenye Internal 32GB inauzwa 205000 hizo ni bei za kuagiza mwenyewe bila makato

REDMI 7A
Qualcomm Snapdragon 439 processor
2 GB RAM
16 GB internal storage
4000 mAh battery
12MP rear & 5MP selfie cameras
5.45 inches inch screen
Dual, Nano-SIM (Hybrid Slot) SIM
Android v9.0 (Pie) OS

Sent using Jamii Forums mobile app
Global version nayo ni cheap tu plus shipping fee.. Haizidi 210k
Screenshot_20191222-071423.jpeg
Screenshot_20191222-071406.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haina uhakika pengine kuna Mbongo anataka kutembelea Nyota tu si unajua kufungua page sio ngumu.

Mara ya mwisho ama wiki 2 hivi nilifanya mawasiliano na Xiaomi Global. (Kuhusu official business).

Walinijibu hawana official tawi wala distributor, wala dealer au seller Kwenye Region hii na hawana Mpango huo kwasasa pengine siku za Usoni.

Xiaomi/Distributor wao wameanza Officially Tanzania au? Maana hii itakuwa nzuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Dumelang
 
Haina uhakika pengine kuna Mbongo anataka kutembelea Nyota tu si unajua kufungua page sio ngumu.

Mara ya mwisho ama wiki 2 hivi nilifanya mawasiliano na Xiaomi Global. (Kuhusu official business).

Walinijibu hawana official tawi wala distributor, wala dealer au seller Kwenye Region hii na hawana Mpango huo kwasasa pengine siku za Usoni.

Dumelang
Shukrani mkuu

Nimeona kenya wanayo official page ya xiaomi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom