Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

D
Hiyo order dispute imeisha na folder ya to be reviewed au cheki kwenye all orders utaiona
Mkuu wameandika DISPUTE FINISHED, inamaana dispute ikiisha nifanye nini ili nipate hela yangu
Screenshot_2019-10-23-15-44-58-926_com.whatsapp.jpeg
 
Hiyo simu inafanya kazi bila shida TZ, ilikuwa ni CN version muuzaji anaifungua na kuweka official global ROM hivyo itafanya kazi kama global version. Ila kumbuka inakuja ikiwa haipo sealed, ina maana box lilifunguliwa wakafanya installation ya global ROM.
 
Shukrani
Vipi kuhusu play store
 
Wakuu nawezaje kutrack na kujua mzigo uko wapi maana kwenye track ya aliexpress naona update mzigo departed kuja TZ siku 14 zilizopita
 
Inayo mkuu si imewekwa global Rom, so ita support Google services na OTA updates.
Mkuu OTA sio rahisi, mimi Mi 5x wali flash na kuweka Global rom ya Mi A1. Ile simu hadi leo ina Android 7. Wakati Mi A1 zenye global version kwasasa zina Android 9.
 
Yep! Mimi ndio nakwambia mkuu. Hiyo 5x kuweka android stock (Android One) walifanya kuweka fake ROM. Lakini kwa hizi Redmi Note series wanatoa Official Global Rom kwahiyo itafanya kazi bila shida na itapata updates kama Kawaida. Naongea hivyo kwa uzoefu.
Mkuu OTA sio rahisi, mimi Mi 5x wali flash na kuweka Global rom ya Mi A1. Ile simu hadi leo ina Android 7. Wakati Mi A1 zenye global version kwasasa zina Android 9.
 
Nimeamua Kesho rasmi naagiza huyu mnyama
Ila nina mashaka na huyu seller (Mi France) kuna mdau alisema anachelewa sana kutuma mzigo

Sijaona seller mwenye Bei nzuri kama Mi France ila ndo bado nasita kuagiza
18917380751299350271.jpeg
 
Vipi mkuu ulipata mi 9t yako au ndo mambo ya fake track namba
Na umetumiwa rangi gani?
mi nataka nyekundu ila nasikia zimebaki nyeusi tupu!!
Mi France kanikera sana, niliagiza Mi9t kwake tarehe 18 mwezi uliyopita, katuma mzigo leo hii tena ni baada ya message kibao sana.

Ngojea nicheki kama katuma kweli au wameweka tracking number kama kuninyamazisha, maana nimewasumbua kweli.
 
Back
Top Bottom