Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Tunawekaje boss? Tupatie mautundu basi.....
Cheki post #3967 SangaweJr kaweka video hata mimi nimepata maujanja
Screenshot_2019-10-12-08-47-03-530_com.quoord.jamiiforums.activity.jpeg
 
Sikubaliani na wewe, amemzidi note 8 nini? Labda pixel camera ya mbele a3 ana 32pixel note 8 ana 13pixel. Na Amoled dispay ambayo pia ni weak ina 720p HD, 229ppi.

wakati note 8 ana 1080p FHD display, 419ppi. Ina camera 4 nyuma kulinfanisha na 3 za a3

Chipset wanazo tumia wote ni sawa. Lakini note 8 ina advance kwenye baadhi ya vitu. Japo minor
Sasa mkuu umeuliza swali, then umesema tena LABDA, huoni hiyo labda ndio jibu lenyewe.
Hebu taja uwezo wa note 8 ambao kwenye A3 haupo. Tofauti na hiyo display.
Angalia hata Band za Network.
 
Nimeona Mi A3 iko moto kuzidi note 8 mzee, angalau mi A3
Unaweza iweka meza moja na mi 9T
Sasa mkuu umeuliza swali, then umesema tena LABDA, huoni hiyo labda ndio jibu lenyewe.
Hebu taja uwezo wa note 8 ambao kwenye A3 haupo. Tofauti na hiyo display.
Angalia hata Band za Network.
 
Wanakudaidia wewe......ili kama litatokea swala.
La kodi uripe nafuuuu
Nimeupata leo asubhi..nilienda kuulizia akajibu ulifika jioni!

Hlf hawa seller kweny bei ya bidhaa naona wanaandika pungufu ya ile niliyolipia! Tuseme kama kitu ni 40000 anaandika 20000 (in $ form)..labda kuna kitu wanakwepa bidhaa inaposafirishwa.
 
Wakuu hivi inawezekana vipi mzigo wangu tangu tarehe 30 sept 2019
Track number inasoma "Despatched to overseas, TZDAR"

Carrier ni AliExpress Standard Shipping
mizigo niliyoagiza tarehe moja yote ilishafika, ila huu tangu track iliposoma hivyo hadi leo haibadiriki

Hii ni kawaida au kuna shida maana seller ananiambia utafika niendelee kusubiri
IMG_20191013_085250.jpeg
 
Safari hii wamechelewa sana hata mimi ilikuwa dispatched overseas Dar tangu 28 september. Umekaa kama siku 12 ndio juzi tarehe 10 inaniambia imefika Dar. Na sijaupata mpka leo mzigo.

Kuna mwingineuna siku 14, kwa china registered airmail uliandika tu ...waiting for pickup mpk leo haijabadilika sijui upo wapi nawasiliana na seller hajibu. Ukijumlisha na zile siku za seller kabla hajaship zilichukua siku 6. Mpk sasa ni siku kama 21 hivi. Mzigo sijui unaendaje ku order sometimes yataka roho ya paka na pressure free
Wakuu hivi inawezekana vipi mzigo wangu tangu tarehe 30 sept 2019
Track number inasoma "Despatched to overseas, TZDAR"

Carrier ni AliExpress Standard Shipping
mizigo niliyoagiza tarehe moja yote ilishafika, ila huu tangu track iliposoma hivyo hadi leo haibadiriki

Hii ni kawaida au kuna shida maana seller ananiambia utafika niendelee kusubiri View attachment 1231500
 
Niliposema labda nikaja na note 8 ilipomzidi a3. Tuombe labda msaada wa wajuzi zaidi hizi ngoma ni likely draw kwa mtazamo wangu

Chief-Mkwawa saidia apa kati a mi a3 na note 8
Sasa mkuu umeuliza swali, then umesema tena LABDA, huoni hiyo labda ndio jibu lenyewe.
Hebu taja uwezo wa note 8 ambao kwenye A3 haupo. Tofauti na hiyo display.
Angalia hata Band za Network.
 
Niliposema labda nikaja na note 8 ilipomzidi a3. Tuombe labda msaada wa wajuzi zaidi hizi ngoma ni likely draw kwa mtazamo wangu

Chief-Mkwawa saidia apa kati a mi a3 na note 8
Unamaanisha redmi note 8?
Advantage ya Note 8 kwa A3 ni resolution kubwa ya kioo na camera nzuri, wakati A3 yenyewe sababu inauzwa ulaya ina bands nyingi zaidi na pia kioo cha super amoled.

Mambo mengi hizi simu zinafanana na sababu quality ya kioo ni ndogo kwenye A3 huwenda ikakaa na chaji zaidi.
 
Hvi ukiachana na Ile 17track app.ni app ipi nyingine Track mizigo yetu ambayo inatumia lugha ya malikia maana hyo 17track naona kichina kimetawala
 
Unamaanisha redmi note 8?
Advantage ya Note 8 kwa A3 ni resolution kubwa ya kioo na camera nzuri, wakati A3 yenyewe sababu inauzwa ulaya ina bands nyingi zaidi na pia kioo cha super amoled.

Mambo mengi hizi simu zinafanana na sababu quality ya kioo ni ndogo kwenye A3 huwenda ikakaa na chaji zaidi.
 
40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom