Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nimeona hii 9t inaizidi 9 se kwenye performance na Betri
Bei hazitofautiani sana

Naona 9t itanifaa

Ila mkuu hii redmi K20 unaonaje
Na vipi mi A3
Pia hata camera, display, mi9 lite ipo vizuri. Pia ni cheap ukilinganisha na 9 SE.

K20 ipo vizuri (hasa kama sio mpenzi wa notch) pia kwenye performance (ina 730 SND) lakini haikubali memory card. So ikitokea internal memory imejaa hutokua na nafasi ya kuweka memory card.

Mi A3 iko vizuri Ila display yake ni sio nzuri sana,Ina 720p! Hvyo hutofurahia video/movie za full HD!
 
Ahaa sasa kwa sisi wa mkoani ishu ya tra ni huku nilipo au ni hadi dar
Wanakata Kulingana na bei ya mzigo soma hiyo form hapo juu kuna makato tofautitofauti

Tena wahudumu wanakazia uwaoneshe Bei halisi toka AliExpress

Kuna mwamba nimekuta kapokea Redmi note 7, wakamkazia... akawaambia nina simu kitochi nashindwa kuwaonesha!!?

Wakamwambia tuambie Bei halisi... akataja laki 2,

wakamwambia tupe Bei halisi hiyo haiwezekani...! Mwisho Wakakubali walipotajiwa laki 3
 
Ufafanuzi hapo tafadhali,maana kuna MTU anataka kuagiza mi A3 na redmi note 8 ambayo ni GLOBAL ROM,
Nisaidieni kati ya hizo IPI ni nzuri zaidi?
Na hiyo yenye global ROM inakuaje
Asante
Kabla hujaagiza hiyo simu jiulize swali unajua tofauti ya GLOBAL ROM na GLOBAL VERSION.
 
Ufafanuzi hapo tafadhali,maana kuna MTU anataka kuagiza mi A3 na redmi note 8 ambayo ni GLOBAL ROM,
Nisaidieni kati ya hizo IPI ni nzuri zaidi?
Na hiyo yenye global ROM inakuaje
Asante
Simu zenye sticker ya Global Rom ni simu ambazo zilikuwa Chinese Version waka zi flash na kuziwekea global Rom ndio maana hata bei zake zipo chini kidogo. ie ikija waweza kuta imeshafunguliwa kwenye boksi)

Global version ni simu ambazo zina kuwa na rom ambayo ni global kutoka kiwandani moja kwa moja. Zinakuwa na bei ya juu kidogo ( ukiagiza inakuja ikiwa haijafunguliwa kwenye boksi lake)
 
Asante sana,
Je ni ipi nzuri kati ya mi a3 na note 8
Simu zenye sticker ya Global Rom ni simu ambazo zikiwa Chinese Version waka zi flash na kuziwekea global Rom ndio maana hata bei zake zipo chini kidogo. ie ikija waweza kuta imeshafunguliwa kwenye boksi)

Global version ni simu ambazo zina kuwa na rom ambayo ni global kutoka kiwandani moja kwa moja. Zinakuwa na bei ya juu kidogo ( ukiagiza inakuja ikiwa haijafunguliwa kwenye boksi lake)
 
Thanks Mkuu

Kwa wale waliochukua hizi redmi note 8 zenye global rom,vp zinasupport band za 4g kwa hii mitandao yetu hapa bongo maana naona sizielew band zake tofaut na ile redmi note 7.
 
Sikubaliani na wewe, amemzidi note 8 nini? Labda pixel camera ya mbele a3 ana 32pixel note 8 ana 13pixel. Na Amoled dispay ambayo pia ni weak ina 720p HD, 229ppi.

wakati note 8 ana 1080p FHD display, 419ppi. Ina camera 4 nyuma kulinfanisha na 3 za a3

Chipset wanazo tumia wote ni sawa. Lakini note 8 ina advance kwenye baadhi ya vitu. Japo minor
Bila kupepesa mkuu kamata Mi A3.

Imeipita vingi note 8.
Ambacho utakosa kwenye Mi A3 ni features za MIUI.
 
Back
Top Bottom