Yes inayo,mimi ndio naitumia hiyo
Hivil Redmi note 7 ina two SIM card?
Hivil Redmi note 7 ina two SIM card?
Hiyo kodi ulipewa control namba ya kulipia?!
Hivil Redmi note 7 ina two SIM card?
Hvi ukiachana na Ile 17track app.ni app ipi nyingine Track mizigo yetu ambayo inatumia lugha ya malikia maana hyo 17track naona kichina kimetawala
Sijajua, ila namaanisha, pale wanapokwambia mzigo huu unapaswa kulipia kodi, je wanakwambia ulipie kupitia control namba flani /bank au unawalipa mkononi?Kuna msg ilikuja kwenye simu yangu kama malipo ya CRDB kiasi cha pesa kwenda TRA CONTROL N0:__
nazani unamaanisha hivyo mkuu
Sijajua, ila namaanisha, pale wanapokwambia mzigo huu unapaswa kulipia kodi, je wanakwambia ulipie kupitia control namba flani /bank au unawalipa mkononi?
Duu! Hatari.Kwanza wamenipa TAX FORM ikiwa imeandikwa makato mbalimbali, alafu nikaambiwa nikabidhi hiyo form na hela kwenye chumba cha malipo pale pale posta
Nikarushiwa msg kwenye simu toka CRDB ikiwa na TRA CONTROL NAMBA
Nikalipa pesa mkononi
Nikapewa Risiti ikiwa imeambatanishwa na ile TAX FORM View attachment 1229491
Kwanza wamenipa TAX FORM ikiwa imeandikwa makato mbalimbali, alafu nikaambiwa nikabidhi hiyo form na hela kwenye chumba cha malipo pale pale posta
Nikarushiwa msg kwenye simu toka CRDB ikiwa na TRA CONTROL NAMBA
Nikalipa pesa mkononi
Nikapewa Risiti ikiwa imeambatanishwa na ile TAX FORM View attachment 1229491
Duu! Hatari.
Kama vile wana-discourage kununua vitu vya nje, tununue vya ndani.
Duh nikiona hya madude sijui itakuaje,
Ivi wanakata kulingana na bei ya mzigo sio?
Mmmh pole mkuu,ilikuwaje masaa mawili yote ikawa kwenye maji ulikuwa unaitumia torch kuzamia pweza???Ina 2 Sim card na sehemu ya kuwekea Memory
Hii simu iko vizuri sana ila mimi siifaidi vizuri kwani wiki ya pili nilivyoinunua ilizama majini kwa masaa mawili
Baada ya kupeleka kwa fundi, ufanisi umepungua upande wa kamera, spika na display vingine nilirekebisha
Ila hata hivyo naenjoy mno kwani kiwango cha ufanisi kilichobaki kinanitosheleza, nina mpango wa kuagiza tena hii redmi note 7 au mi 9 se
Badala ya mi se agiza mi 9 liteIna 2 Sim card na sehemu ya kuwekea Memory
Hii simu iko vizuri sana ila mimi siifaidi vizuri kwani wiki ya pili nilivyoinunua ilizama majini kwa masaa mawili
Baada ya kupeleka kwa fundi, ufanisi umepungua upande wa kamera, spika na display vingine nilirekebisha
Ila hata hivyo naenjoy mno kwani kiwango cha ufanisi kilichobaki kinanitosheleza, nina mpango wa kuagiza tena hii redmi note 7 au mi 9 se
Mmmh pole mkuu,ilikuwaje masaa mawili yote ikawa kwenye maji ulikuwa unaitumia torch kuzamia pweza???
Badala ya mi se agiza mi 9 lite
Naona kaweka Kama offa mwisho tarehe 12.Wakuu nataka nichukue hii vipi bei iko Sawa na simu. Maana naona seller wengine bei zao juu. View attachment 1229565
Tupe sababu mkuu.Badala ya mi se agiza mi 9 lite
Duh pole sana aisee.Nilikua kwenye pikipiki mvua kubwa ikinyesha na sikua na jinsi lazima nifike ninakoenda kwa muda unaotakiwa
niliamini mkoba hauingizi maji, mwisho nikakuta maji yamejaa kwenye mkoba na simu zote zimezima
Badala ya mi se agiza mi 9 lite