Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Ina 2 Sim card na sehemu ya kuwekea Memory
Hii simu iko vizuri sana ila mimi siifaidi vizuri kwani wiki ya pili nilivyoinunua ilizama majini kwa masaa mawili

Baada ya kupeleka kwa fundi, ufanisi umepungua upande wa kamera, spika na display vingine nilirekebisha

Ila hata hivyo naenjoy mno kwani kiwango cha ufanisi kilichobaki kinanitosheleza, nina mpango wa kuagiza tena hii redmi note 7 au mi 9 se
Hivil Redmi note 7 ina two SIM card?
 
Hvi ukiachana na Ile 17track app.ni app ipi nyingine Track mizigo yetu ambayo inatumia lugha ya malikia maana hyo 17track naona kichina kimetawala
 
Kuna msg ilikuja kwenye simu yangu kama malipo ya CRDB kiasi cha pesa kwenda TRA CONTROL N0:__

nazani unamaanisha hivyo mkuu
Sijajua, ila namaanisha, pale wanapokwambia mzigo huu unapaswa kulipia kodi, je wanakwambia ulipie kupitia control namba flani /bank au unawalipa mkononi?
 
Kwanza wamenipa TAX FORM ikiwa imeandikwa makato mbalimbali, alafu nikaambiwa nikabidhi hiyo form na hela kwenye chumba cha malipo pale pale posta

Nikarushiwa msg kwenye simu toka CRDB ikiwa na TRA CONTROL NAMBA
Nikalipa pesa mkononi

Nikapewa Risiti ikiwa imeambatanishwa na ile TAX FORM
Sijajua, ila namaanisha, pale wanapokwambia mzigo huu unapaswa kulipia kodi, je wanakwambia ulipie kupitia control namba flani /bank au unawalipa mkononi?
IMG_20191011_101743.jpeg
 
Kwanza wamenipa TAX FORM ikiwa imeandikwa makato mbalimbali, alafu nikaambiwa nikabidhi hiyo form na hela kwenye chumba cha malipo pale pale posta

Nikarushiwa msg kwenye simu toka CRDB ikiwa na TRA CONTROL NAMBA
Nikalipa pesa mkononi

Nikapewa Risiti ikiwa imeambatanishwa na ile TAX FORM View attachment 1229491
Duu! Hatari.
Kama vile wana-discourage kununua vitu vya nje, tununue vya ndani.
 
Duh nikiona hya madude sijui itakuaje,
Ivi wanakata kulingana na bei ya mzigo sio?
Kwanza wamenipa TAX FORM ikiwa imeandikwa makato mbalimbali, alafu nikaambiwa nikabidhi hiyo form na hela kwenye chumba cha malipo pale pale posta

Nikarushiwa msg kwenye simu toka CRDB ikiwa na TRA CONTROL NAMBA
Nikalipa pesa mkononi

Nikapewa Risiti ikiwa imeambatanishwa na ile TAX FORM View attachment 1229491
 
Wanakata Kulingana na bei ya mzigo soma hiyo form hapo juu kuna makato tofautitofauti

Tena wahudumu wanakazia uwaoneshe Bei halisi toka AliExpress

Kuna mwamba nimekuta kapokea Redmi note 7, wakamkazia... akawaambia nina simu kitochi nashindwa kuwaonesha!!?

Wakamwambia tuambie Bei halisi... akataja laki 2,

wakamwambia tupe Bei halisi hiyo haiwezekani...! Mwisho Wakakubali walipotajiwa laki 3
Duh nikiona hya madude sijui itakuaje,
Ivi wanakata kulingana na bei ya mzigo sio?
 
Ina 2 Sim card na sehemu ya kuwekea Memory
Hii simu iko vizuri sana ila mimi siifaidi vizuri kwani wiki ya pili nilivyoinunua ilizama majini kwa masaa mawili

Baada ya kupeleka kwa fundi, ufanisi umepungua upande wa kamera, spika na display vingine nilirekebisha

Ila hata hivyo naenjoy mno kwani kiwango cha ufanisi kilichobaki kinanitosheleza, nina mpango wa kuagiza tena hii redmi note 7 au mi 9 se
Mmmh pole mkuu,ilikuwaje masaa mawili yote ikawa kwenye maji ulikuwa unaitumia torch kuzamia pweza???
 
Badala ya mi se agiza mi 9 lite
 
Nilikua kwenye pikipiki mvua kubwa ikinyesha na sikua na jinsi lazima nifike ninakoenda kwa muda unaotakiwa

niliamini mkoba hauingizi maji, mwisho nikakuta maji yamejaa kwenye mkoba na simu zote zimezima
Mmmh pole mkuu,ilikuwaje masaa mawili yote ikawa kwenye maji ulikuwa unaitumia torch kuzamia pweza???
 
Nilikua kwenye pikipiki mvua kubwa ikinyesha na sikua na jinsi lazima nifike ninakoenda kwa muda unaotakiwa

niliamini mkoba hauingizi maji, mwisho nikakuta maji yamejaa kwenye mkoba na simu zote zimezima
Duh pole sana aisee.
 
Back
Top Bottom